ANDIKO LA KUTOKA GAZETI MAARUFU DUNIANI FORBES
LIKIMUONGELEA JACKLINE NTUYABALIWE MENGI NA MAISHA YAKE YA BIASHARA.
Malkia wa Urembo kutoka Tanzania Anayejenga Himaya ya Samani
Akijivinjari ndani ya jiji la Dar es salaam kwenye foleni mida ya mchana ndani ya gari lake jeupe aina ya Mercedes...
By Faudhia Kitenge,
It was not my fault or my choice to have albinism and live with it through out my entire life. But its the society's fault to create exclution, discrimination and oppression towards people with Albinism through those abusive cultural practice.
Who has the ability to test...
Hayo yamesemwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Boniface Jacob wakati kufungwa kwa mashindano ya Umoja wa Michezo Sekondari Tanzania (UMISETA) kwa Wilaya ya Kinondoni yaliyofanyika shule ya SekondariMakongo leo Jumapili 22/5/2016,ikiwa zimeshirikishwa shule kutoka Majimbo matano ya...
sawa sawa mkuu na mitazamo yako ya kuaminishwa,uhuru wa habari ni dhana pana amabayo nyie mnaichanganya sana na suala la bunge kuoneshwa live. binafsi siafiki bunge kutooneshwa ila si kwamba hatuna uhuru wa habari ... uhuru upo na ndio maana taarifa kama hizi za mapakusanyo ya kodi na mapato ya...
yaani kaka dah umelenga sana maana hiyo ishu imeniumiza sana kichwa,kwani kila nikipumzika mwezi ama wiki mbili namkuta nazo nikawa nahisi ni mbegu za wengine ila now umenifumbua akili sana
may be huyo mwanamke anakutaka thus y akakueleza matatizo ya mumeo ili umuone huruma na kumfariji.na kama kweli ni hvyo hlo gari la kuhongwa thus y hajui kuliangaikia nakupenda misaada kwa wanaume kama wewe ndio mana hata mumewe anachukia
kitu nachofahamu mimi kuwa binadamu tunapenda na hali ya kupenda ni hisia zilizo ndani ya moyo,lakini linapokuja suala la upande wa pili wa yule uliyempenda huwa tunaamini naye anakupenda kutokana na muonesho wa hisia zake.jee mapenzi ni hisia ama imani?
nina mpenzi wangu nampenda sana na naamini naye anipenda sana ila siku za hivi karibuni ameanza kuwa na tabia ya kuchat sana na mwanaume mmoja nikimuuliza anadai ni rafiki lakini mimi nakuta meseji wakiita honey,mumy,mpenzi na zaidi huwa mkali sana napotaja jina la huyo jamaa na hataki kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.