Search results

  1. N

    Brucela ninini!

    Brucella ni bacteria wanaosababisha ugonjwa unaoitwa brucellosis.bacteria hawa hupatikana kwa wanyama kama ng`ombe,mbuzi,kondoo,nk. Brucellosis ni ugonjwa unaosababishwa na kula nyama yenye brucella,au kunywa maziwa yenye brucella yanayopatikana kwa wanyama niliotaja hapo juu,au mtu anapokuwa...
  2. N

    Madhala ya kutofanya mapenzi kwa mda mrefu.?

    mkuu hii si kweli labda tupe source ila alichosema Doctorz ni sawa kuna watu wana zaidi ya miaka 20 bila kumega mkate hawana complications kama hizo.
  3. N

    Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito)

    Matatizo yanayosababisha miguu kuvimba yako mengi kama matatizo ya figo,magonjwa ya moyo,upungufu wa damu,matatizo ya damu kuganda,overweight, nk.Kujua nini kinamsababishia hali hiyo ni ngumu mpaka hosp.may be kama hawaja check figo,moyo,wingi wa damu waangalie inaweza kuwa ndiyo cause. Pia...
  4. N

    Mwanamke ukijifanya kuzira, imekula kwako……………………………!

    Kanuni ya Mungu mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe,tofoauti na hapo ni songombingo lisiloisha na mama Ngina.
  5. N

    Wanawake na kisirani cha ujumbe wa simu…………………..!

    Huu ni utafiti au experience kutoka kwa mama NGINA?
  6. N

    Doctors make mistakes. Can we talk about that?

    wewe hujawahi fanya makosa? mbona huulizi wameokoa maisha ya watu wa ngapi?
  7. N

    Msaada: maumivu ya tumbo la siku na uzazi wa kwanza wa mwanamke

    Nashukuru sana hapana shaka Mungu anaweza kukusaidia ukawa mmoja wa wenye neema ya kutopata siku zao hata miezi 6 au zaidi kama unanyonyesha vizuri.
  8. N

    Msaada: maumivu ya tumbo la siku na uzazi wa kwanza wa mwanamke

    Ni kweli kabisa utafiti mwingi uliofanywa na wataalau unaonyesha maumivu ya tumbo wakati wa siku zake mwanamke hupungua tofauti na yule hajajifungua. pia ningependa ujue kuwa wanawake wengine wakiwa wananyonyesha watoto baada ya kujifungua huwa hawapati kabisa siku zao mpaka hata miezi sita...
  9. N

    Msaada plz; zuia hii abortion!!

    kwanza nakupongeza sana kwa moyo wa kumsaidia huyo dada,kwa vile unaonekana kujali maisha yake na mtoto wewe nenda kwenye asasi za kijamii zinazolea watoto yatima ukawaeleze situation yote wanaweza kukubali akae na mimba akizaa mtoto wamchukue wao.<BR><BR>lakini swala la kutoa mimba anaweza...
  10. N

    Matatizo ya kutopata haja kubwa kwa urahisi

    Asante kwa elimu mzizimkavu, mbona ulipotea mkuu?
  11. N

    Habar

    Kama sijakuelewa tofauti unauliza kama inawezekana ukaona damu kwenye uke na ukajua siku zako zimefika lakini bleed ikaacha tena.kwa sababu swali lako haliko direct mimi nafikiri unaongelea hasa siku za kupata menses ikiwa imefika. Jibu ni ndiyo kumbuka kuwa kutokwa na damu ni uterus kusafisha...
  12. N

    Nimechoshwa na denda

    Kwa sababu unasema hali hii si ya muda mrefu basi mambo haya yanaweza kufanya udenda utoke ukiwa umelala.kama un madonda mdomoni au kooni,matatizo kwenye meno,kutumia dawa za kunywa,pia angalia vyakula unavyokula kabla ya kulala.ukimaliza jambo linalohusika ya mambo hayo itaisha tu,vingine...
  13. N

    Ongezeko la magonjwa ya kansa tz

    Check up niliyoongelea ni ya mwili wako kwa ujumla si cancer pekee,kwamba ikiwa kwenye ubongo,damu,mifupa ndo maana kuna chemotherapy na mionzi kwa sehemu ambazo upasuaji hauwezekani.vinginevyo hospital wao ndo wana uwezo wa kukushauri kwenda kwenye hosp.zinashughulika na cancer baada ya kuona...
  14. N

    Ongezeko la magonjwa ya kansa tz

    Poleni sana kwa kupoteza jamaa.ugonjwa wa cancer unatokana na rapid changes(mutation) na kugawanyika cell kusiko kwa kawaida kwenye DNA.DNA ni plan master kwenye cell inayoelekeza cell jinsi ya kukua na kugawanyika.Makosa ya maelekezo yanapofanyika ndo yanakuja kusababisha cancer.Cancer huokea...
  15. N

    Dogo akaja mikono mitupu!

    tehe! tehe! baba Ngina kumbe wewe ndo mwasisi wa uchakachuaji? yaani ulikuwa unachakachua homework za dogo? kisa hawala mkono uende kinywani,mbona hawa hukuwafanyia kareti za kichina na kuwalilia kama paka upate heshima?
  16. N

    Kupombeka na aibu ya mwanamke...!

    chonde chonde baba Ngina badili tu hayo ya wengine wanao sijui Ngani,Ngabu unajua wewe usiguse Ngina.
  17. N

    Kupombeka na aibu ya mwanamke...!

    Baba Ngina kumbe na mambo ya afya uko juu mimi nilijua wewe socrates tu lo! msalimie Ngina.
  18. N

    Kila mwanaume anaetangaza kuniowa namuacha

    ungekuwa unamwogopa Mungu usinge fanya mapenzi ungeikimbia zinaa,halafu bado unaulizia njia ya kuwa na hawa wanaumme,tusiumeume maneno hauna hofu ya Mungu ndani yako........wanaompenda Mungu hufanya mapenzi yake baba wa mbinguni yaani kujilinda na dhambi(ubaya wa namana yeyote).
  19. N

    Kila mwanaume anaetangaza kuniowa namuacha

    Mungu anakupenda kukufarakanisha na wanaumme ili umrudie but huelewi. unashangaza sana dada wewe uko chuo na katika age 23 una mtoto wa mtu ambaye hajakuoa,hujakoma huyo aliyekupa mimba?,au unataka mimba nyingine? ushauri. 1.kapime Ukimwi kama huna achana kabisa na wanaume. 2.Fuata masomo...
  20. N

    Jinsi ya kuishi na mwenye hiv

    Pole sana kwamba ufanyaje usiambukizwe njia ambazo HIV huambukizwa ni kwa tendo la ndoa bila kutumia kinga,kuongezewa damu ya mtu mwenye vidudu vya ukimwi,kuchangia sindano,nyembe nk,kugusa damu,majimaji ya mgojwa wa ukimwi kama una mchubuko au kidonda(yaani contact ya damu yako na ya...
Back
Top Bottom