Search results

  1. WISE BOY

    USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

    Kwa hiyo wasiende kwa sababu ya bum na pesa ya field? Hilo ni tatizo la bodi au chuo? Kama msomi unatarajiwa kuwa suluhisho la tatizo kwa kuwa na fikra pevu, umewahi kujua kiini cha tatizo lenu na mkatafuta ufumbuzi? Nikiwa nasoma kulikua na rumors za kijinga kuwa wahasibu wa chuo chetu wanaweka...
  2. WISE BOY

    Ufafanuzi: Safari za nje za ofisi ya CAG

    Mto mada pole sana, una hoja ila huwezi eleweka maana unaongea na wasio elewa lugha unayotumia
  3. WISE BOY

    Wanaume ni kichwa cha familia, timizeni wajibu wenu

    Nahisi kuna jambo limekukuta, pole sana. Ngoja waje!!
  4. WISE BOY

    Tabia hizi katika Supermarkets zinaboa

    Bilioni inaanza na sh 1/=... kwa hyo kila sent ina jasho na thamani yake. Rudi kwenye shelve chukua kitu cha bei kisha mwambie na ww umepungikiwa. Juhudi atakazo tumia kukubana ulipe ndizi atumie kukutafutia 100
  5. WISE BOY

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    Alipata mimba kwa kuf***? Inawezekana? Huyu dada si mzima, ni halali asimlee mtoto. Ukichambua maneno yake utagundua tu katunga kadiri awezavyo ilimradi yawe machafu, Mods plz
  6. WISE BOY

    Majibu ya Mh Sugu juu ya alichokisema Mbunge Mlata jana bungeni

    Mods wamefuta uzi wa mchana baada ya martha kutukanwa sana, lakini raia mlivyo wabishi mmerudi tena
  7. WISE BOY

    Kutoka Bungeni: Sugu ajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake

    Mimi kama mwanaume na kama mzazi maneno ya Martha Mlata yaliniuma sana na kunipa hasira. Kama angeona kuna tatizo pale basi angemfata Sugu personally, lakini yeye akataka suala binafsi la Sugu limpe yeye umaarufu kisiasa. Mbona yeye kaachika hakuna aliye mjadili? Watoto wake aliwalea ktk...
  8. WISE BOY

    Kutoka Bungeni: Sugu ajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake

    Kama CCM wana jezi "vichu.pi" basi atavaa. Maana ana aleji na mavazi nadhifu
  9. WISE BOY

    Kutoka Bungeni: Sugu ajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake

    Nadhani Martha kafungua ukurasa wa jamii kumjadili, na atajutia. Kajifunika blanketi fupi alitegemea nini?
  10. WISE BOY

    Tambiko, kafara la njiapanda

    Mshana jr huko mbeleni utakuja kuwa mganga wa jadi ndugu yangu. But hongera kwa kujitahidi kujua vingi ambavyo wengi tunapuuza, tunaridhika na tunachojua na kutovipa second thought
  11. WISE BOY

    Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Mmh.. inahuzunisha, inasikitisha, inagusa na inafunza. Mimi nakushauri umshirikishe Mungu wako, maana hili ni zito kibinadamu. Kama mwanadamu naweza sema (bila uhakika) uko sahihi, lkn Mungu wako anaweza kukuvusha salama bila bahati nasibu
  12. WISE BOY

    Mgombea urais ACT-Wazalendo kujulikana Agosti 10

    Ushauri wangu wangejenga chama kwanza. Mchicha haukuanza kama mbuyu
  13. WISE BOY

    Kuna mwanamke yeyote Tanzania anaweza kutimiza haya?

    Naona wasio weza wanatangaza generality kwa wanawake wote, ila ukweli ni kwamba wapo na mm nina ushahidi, mostly ni wanawake wa kienyejj Ila kwa wanawake wa kisasa huwez pata hata mmoja
  14. WISE BOY

    Kuweni makini na bidhaa za WESTPOINT

    Naunga mkono hoja, mimi rice cooker nilinunua hata miezi 6 haijaisha waya zinang'oka
  15. WISE BOY

    Kesi dhidi ya Star Times

    Unapo peleke kifaa kwa fundi/ customer service repair unapaswa kuwa umetoa data zako zote muhimu na hawezi ku na jukumu la kujibu kwa upotevu wowote ule wa data, jifunze hata kwa fundi wako wa mtaani kabla hujawafikia star times
  16. WISE BOY

    Mayai ya Kware / quality egg Tshs 12,000/= Kwa Tray

    Hukuwasikia TFDA waliposema mayai hayo hayana manufaa yoyote kiafya? Labda utapata wateja, ngoja waje.
  17. WISE BOY

    Naomba ushauri wa kisheria juu ya huyu mwajiri fake

    Kumbe si ushauri wa kisheria tu, bali unahitaji pia ushauri wa kisaikolojia... If u are well paid, go and find yourself a lawyer. Wacha kutafuta ushauri wa bure hapa wakati wewe unalipwa vyema
  18. WISE BOY

    Mtangazaji huyu na wageni wake wamenishangaza sana!

    Sheria ambayo haijaanza kufanya kazi inaitwaje kwani? Maana tarehe ya hiyo sheria kuanza kufanya kazi haijafika bado, kwa mujibu wa tarehe iliyo andikwa ndani ya sheria hiyo.
  19. WISE BOY

    Mishahara ya SUMATRA kufuru

    Ukitoa makato na kodi inabaki kama laki 8 take home. Mbona kawaida!!
Back
Top Bottom