Search results

  1. A

    Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

    Ana uchungu wa kutimuliwa
  2. A

    Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

    Ngeleja anasema bajeti mbadala ya CHADEMA,ni wa mchango wa harusi na maandamano
  3. A

    Zungu ndani ya kiti for first time

    hebu tungoje huyo zungu tumwone
  4. A

    Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

    Nashindwa kutambua mpaka leo ni nani alikuja na wazo la kumtuma Nchimbi kwenye mazishi ya Saitoti, hivi hawa wenzetu wakenya wanatuonaje, wajinga au tahira, speech ambao ata wa darasa la nne hapa Arusha asingeshindwa kusoma. Hapo serikali ya JK linamtuma Nchimbi,huyu mtu alipata udokta wake...
  5. A

    mgombea urais wa Kenya ni lazima pia kugombea na ubunge kwa wakati huo huo?

    Kenya rais ni mbunge mkuu tena Kibaki ni mbunge kwenye jimbo linaloitwa Othaya kule kwao Nyeri ila kwa katiba ya sasa rais hatakuwa mbunge
  6. A

    Kweli nimsamehe huyu binti?

    Mimi mwenyewe nilishapata Mrombo mmoja jina Celina Owisso sasa analiwa Dar,ni kama hao,umaskini na wengine ata kutokwenda shule kama huyo wa kwangu inawasababishia matatizo huku wakifikiri ujinga tuuu.
  7. A

    Ama kweli lowasa ana mungu kweli?je c shetani?

    Lowassa sio binadamu ni shetani wa kutupwa
  8. A

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Acha unafiki weee Calculator, usiwe kubwa jinga,najua unakaaa pale Kaloleni na kahawa zako, Lema ameruhusiwa tena kugombea.
  9. A

    Slaa awe mbunge wa arusha

    Kuna huyu mnafiki anaetwa Calculator,anakaa kaloleni,asiwadanganye Lema ameruhusiwa tena kugombea,wajue kwamba Lema sio kubwa jinga
  10. A

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Wagamba wanasema Lema alitumia matusi wakati wa kampeni zake,ila ameruhusiwa kugombea tena jimbona,makamanda mkoooo tayarii?
  11. A

    Mukama amtetea Lusinde; adai alikuwa anajibu mapigo!

    Katibu Mkuu wa CCM Bw Wilson Mukama ametetea matusi yaliyoporomoshwa na mgamba mwenzake Masinde, akisema alikuwa akijibu mapigo ya wapinzani wao CDM wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.Swali ni je Mukama akipewa matusi kama yale atayavumilia na je mwenyekiti wao mnafiki yaani JK anakumbatia haya...
  12. A

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Sio mbunge tena jamani
  13. A

    Slaa awe mbunge wa arusha

    Docta njoooooo Arusha tukupe ubungeee, wewe ndiye mbunge mtarajawa,tunakupenda,pamabana baba.
  14. A

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Lema aenguliwa Arusha
  15. A

    Natafuta Mchumba/Mume.

    Am 31 one single working as a teacher in Arusha,can you accept it?
  16. A

    Natafuta Mchumba/Mume.

    Am 31 one single working as a teacher in Arusha,can you accept it?
  17. A

    Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

    Mimi kesho niko mahakamani saa 12 na makamanda wenzangu,siogopi serikali mbovu kama ya Kikwete,Lema amenifundisha ujasiri
  18. A

    Arumeru: Dr lwaitama ana haya ya kusema

    Ndugu Mjengwa, Ushauri wako kwa CCM hii ya makuadi wa soko huria na wapenda kusifiwa hata wanapokuwa hawana walilolifanya linalostahili kusifiwa si sahihi kwa maoni yangu. CCM ya leo wala haistahili kupewa ushauri wako wa eti: "CCM ya sasa inapaswa kupanga mikakati ya kuendelea kuongoza...
  19. A

    Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

    Wasimkubali Lowassa mwizi,CDM wakifanya hivyo mimi natimkia Sauti ya Uma (SAU)
  20. A

    NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    Tayari Nape anazika ccemu,kavaa magwanda za makamanda wanazotumia kwenye mazishi,peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzz
Back
Top Bottom