BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA AFYA,
Mh.Dr. Hussein Mwinyi
Kwa heshima kubwa, Sisi madaktari na wafamasia tuliopo mafunzoni (Internship) katika hospitali za mikoani tofauti na Muhimbili tunapenda kukutaarifu Mh.Waziri wa Afya,kwamba kumekuwepo na matatizo katika malipo ya posho tunazolipwa kila...
Mkoa wetu umekosa wabunge wakutusemea na kututeteana badala yake wamekuwa watetezi wa chama na ndio maana tupo nyuma sana kimaendeleo.Sasa naacha kulalamika naanza rasmi kufanya siasa Namtumbo.
Tumeona wabunge wa mikoa ya ziwa wanaungana kuhusu pamba na uvuvi,kaskazini kuhusu masuala ya utalii na kahawa na magharibi kuhusu reli lakini wabunge wetu pamoja na kuwa na matatizo makubwa ya mbolea,kahawa,makaa ya mawe na madini mengine,uranium bila kusahau tumbaku lakini wanaishia kuonga...
Tuache unafiki,English ni janga la kitaifa Tanzania,nashauri kabla hujamtathmini Nchimbi anza kutathmini english yako kwanza,utagundua humfikii hata robo,Mwacheni mbunge wangu hata kama tupo chama tofauti
Inakuwaje Mbunge unaunga hoja ya bajeti mkono kwa 100%,halafu katika mchango wako wote katika bajeti hiyo unailaumu serikali kwa kutozingatia mambo muhimu.Je huku sio kuwahadaa wananchi?
Akijibu maswali bungeni leo,Waziri huyo ameonekana kabisa hawezi kuongea kiswahili vizuri kwani hana tofauti na jinsi wanavyoongea watu ambao wamekijua kiswahili kwa kujifunza kama vile wazungu,yaani usipomwangalia usoni unapomsikiliza ni wazi utashtuka na kuhisi kwamba leo mzungu anahutubia...
Wenye nia ya kugombea ubunge kupitia CHADEMA ktk majimbo ya mkoa wa Ruvuma,huu ndio wakati wa kujenga chama.Msije mkakumbuka shuka wakati kumekucha na hivyo kupelekea mkoa wetu kuwa wa mwisho kwa kimaendeleo kila siku,
Nawasilisha.
Huna lolote ,umetishwa na CCM ya kwamba utavuliwa uanachama umeanza kuwasahau waliokuchagua,nakuambia ni bora maskini huru kuliko tajiri na msomi mtumwa.:rockon:
Wabunge wapo sahihi,na unapozungumzia juu ya nauli usiishie tu kuitaja ile 200,angalia pia gharama za mizigo,bajaji,gari n.k.pia usisahau na nauli nyingine kutoka pale feri kwenda maeneo mengine mara kurudi,yaani mfano mwenge,mabibo n.k,inawezekana wanaopingana na wabunge hawa upeo wao wa...
Slaa ni kiongozi mzuri sio kwa sababu ya upadre,kwani mapadre wangapi wanafanya mambo ya kijinga.Usimchafue na kumgombanisha Rais wetu ajae na waislamu,busara muhimu
Waraka wa Bubu-0002 Miaka 50 ya Uhuru--------Siungi Mkono Hoja
UTANGULIZI
Mwaka 2011 tumeshuhudia sherehe nyingi za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Wizara,Taasisi,Mikoa,Wilaya,Kata na vijiji mbalimbali na hata imepelekea baadhi ya watu nikiwamo mimi kuuita Mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.