Search results

  1. huskryderz

    Suala la kujifunza kuhusu Mwanamke

    Unamaanisha huyu bwana au
  2. huskryderz

    Suala la kujifunza kuhusu Mwanamke

    Naona umetoa code kiaina 😂😂😂
  3. huskryderz

    Suala la kujifunza kuhusu Mwanamke

    Haina maana nimekutana nalo ila ni maneno ambayo wanawake wanapenda sana kutumia siku hizi na mara nyingi ukiona mwanamke anaongea haya ujue tayari mambo yameanza kuwa mengi na wanatafuta justification ya tabia zake.
  4. huskryderz

    Suala la kujifunza kuhusu Mwanamke

    Unapokutana na mwanamke anaongea au kushabikia kauli hii “Chunga sana akili yako mwanamke akikuchoka anakuwa adui" fahamu kuwa huyo kichwani hamna kitu na hafai tu kuwa mke sema Mungu amempatia nyama za kuishi nazo tu.
  5. huskryderz

    Lengo kuwa Bibi Harusi

    If your only goal is to become the bride (wear a wedding dress), you will never achieve it.
  6. huskryderz

    That’s my soul

    My soul is on a budget. I cannot afford stress, envy, negative vibes, doubt, or deceit.
  7. huskryderz

    Mahusiano ya Ushirikina

    Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanashiriki kupoteza ufahamu wa kimwili au akili wapenzi wao kupitia waganga wa kienyeji. Wanawake wamekuwa wepesi sana kwenda kwa waganga wa kienyeji kutaka kuroga wanaume wao ili waweze kuvuna mali Au kumfanya mume au mpenzi wake asiwe...
  8. huskryderz

    Mahusiano na Mali

    Mdau anaomba ushauri: Jamaa amewahi kuwa na mwanamke kwa muda wa miaka 10 wakiwa kwenye mahusiano wa kimapenzi, walifanikiwa kuanzisha biashara ikasajiliwa kwa jina la mwanadada ambaye mchumba/mpenzi wake na pia wakajenga nyumba kupitia kipato cha mwanaume na walifanikiwa kuzaa watoto wawili...
  9. huskryderz

    Watumishi waliohamishwa Utumishi kuanzia Agosti 2019 hadi Julai tarehe 15, 2020

    Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu. Inakuaje mnashindwa...
  10. huskryderz

    Tatizo la Tumbo Kuunguruma

    Asante sana kwa ushauri, ila nimejaribu kwenda mpaka Muhimbili hila mafanikio. Labda niendelee kuangalia kuwaona madaktari wengine na hospital nyingine hapa nchini.
  11. huskryderz

    Tatizo la Tumbo Kuunguruma

    Habari wadau, nina tatizo la tumbo linatoa mngurumo ni kwa muda mrefu sana. Nimekwenda hospital nyingi na kuonana na madaktari wengi pamoja na kutumia madawa mbalimbali lakini sikuweza kupata suluhisho la tatizo langu. Kila daktari alikuwa na mtazamo wake wapo waliohisi kuwa nina tatizo la...
  12. huskryderz

    Tundu Lissu: UKUTA umedhihirisha CCM sio chama cha siasa

    Sasa tumeondoa maneno!
  13. huskryderz

    Lindi na Mtwara amkeni

    Pia ningependa kuwahasa wananchi wa mkoa wa Mtwara na Lindi yaani kusini nzima kuwapuuza wabunge au watu wanaokuja kuomba kura kutoka CCM kwani itikadi na utekerezaji wao hakuna tofauti na kama mnahitaji kubadili kanda ya kusini. Mfano, Hivi punde pia nimesikia Nape Nahuye anakuja jimbo la Mtama...
  14. huskryderz

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    m.facebook.com/TAJOA?refid=28&_ft_=qid.5910730000495572446%3Amf_story_key.-2878228964847103542 kuna baadhi vyombo vinareport hv, jamani hii nchi ipo wapi saiz na tunaenda wapi!?
  15. huskryderz

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    m.facebook.com/TAJOA?refid=28&_ft_=qid.5910730000495572446%3Amf_story_key.-2878228964847103542 kuna baadhi vinareport hv, jamani hii nchi ipo wapi saiz na tunaenda wapi!?
  16. huskryderz

    Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

    ---- you ccm, ------- sn hawa jamaa!
  17. huskryderz

    Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

    alichokuwa anataka kusema kuwa hata mlipuko wa bomu arusha lilitokea kanisani walipiga wahumini wenyewe!? It is a shame kwa CCM na viongozi wake wote!
  18. huskryderz

    Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

    alichokuwa anataka kusema kuwa hata mlipuko wa bomu arusha lilitokea kanisani walipiga wahumini wenyewe!? It is a shame kwa CCM na viongizi wake wote!
Back
Top Bottom