Search results

  1. M

    Salary slip portal

    Nimefanya hivyo lakini mpaka sasa hakuna majibu/ mail yoyote kutoka kwao
  2. M

    Salary slip portal

    Habari wana JF. Samahani, naomba kama kuna mwenye kufahamu iwapo mtu amesahau password ya kwenye account ya Salary slip portal afanyeje. Maana namba yao waliyoweka kwenye website yao haipokelewi. Natanguliza shukrani.
  3. M

    Huyu mwamba wamevunja vunja mifupa yote!

    Mkuu ni-pm hiyo clip tafadhali
  4. M

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Habari wanajukwaa. Mwenye ufahamu na biashara ya kusafirisha mchele kutoka Ubaruku (WIlaya ya Mbarali Mkoani Mbeya) kwenda Dodoma naomba anieleweshe hapa, kuhusu gharama na namna ya kupata malori yanayobeba mzigo. Asanteni.
  5. M

    Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Samahani Ghrama ya kipimo Cha h.pylori inaenda shilingi ngapi?
  6. M

    Brown rice

    Wakuu habari za leo. Naomba kujuzwa Bei ya brown rice jijini Dar es salaam.
  7. M

    Kudizainiwa na Uchapaji wa sticker

    Bei ikoje
  8. M

    Msaada: Bei ya "zipper bags"

    Habari. Nahitaji kufahamu Bei ya mifuko (zipper bags) yenye ujazo wa kilo 2 na kilo 5. Rangi sii lazima iwe khaki...Picha ya mifuko nmeambatanisha...
  9. M

    Tahadhari: Kuweni makini na shimo kubwa barabara ya Morogoro

    Wizara husika ilitoa maelezo hayo mida ya mchana.... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Biashara ya kufungasha na kuuza mchele

    Asante ndugu.... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Biashara ya kufungasha na kuuza mchele

    Habari wadau. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya kufungasha mchele kwenye kilo 5,10 na 20 na kuuza kwenye fremu. Je, kwa biashara ya aina hii natakiwa kuwa na vibali vya aina gani kutoka serikalini? Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Vyama vya wafanyakazi Tanzania vinakwama wapi?

    Kujiunga sio lazima ni hiyari. Na una haki ya kujitoa uanachama. Sio lazima ndugu kuwa mwanachama.... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Mrejesho: Kilimo cha mpunga Bahi

    Mkuu ulilima wapi? Tupe madini Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Kilimo cha Mpunga Bahi

    Habari wadau. Kama kuna mwenye kufahamu inapopatikana skimu ya umwagiliaji huko Bahi ambako kunalimwa mpunga anijuze tafadhali. Natanguliza shukran.
  15. M

    Ugumu wa kufanya biashara Tanzania

    Mkuu tupe maujanja Hali tete
  16. M

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Mkuu vipi upatikanaji wa hayo mashamba ya kukodi? Na je eneo liko ndani ya irrigation scheme?
  17. M

    Kuna Vi mwanamke viko Selective!!

    Daaaah... Blaza umechafukws
  18. M

    TBS kwa nini mmeifumbia macho Rungu?

    Hii dawa ina athari kwa kweli. Tulitumia nyumbani tuliumwa mafua makali na asubuhi tuliamka miili inauma Kama tumepigwa. Tulivyoacha kuitumia tukapona, dawa ya rungu ni majanga
  19. M

    Gharama za kuchimba kisima Dodoma

    Habari wapendwa. Nahitaji kufahamu gharama za kuchimba kisima huku Dodoma maeneo ya Hombolo. Natanguliza shukran. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom