Search results

  1. kau

    Mada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi

    Nice idear...cha msingi tuwe tunapost vitu vya kueleweka....
  2. kau

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mbona mnalialia?kwani ninyi mmejipangaje!?! mkuu umenichekesha sanaaaaa....hapo bado kusema ....ndorobooo nn
  3. kau

    Kwa hiyo CHADEMA wamemtoa Lowasa katika list ya Mafisadi wakubwa Tanzania waliyotutangazia?

    well said mkuu....nchi zetu hiz za kiafrika mtu asitegemee kuokolewa na chama cha siasa....
  4. kau

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Kwanza kuna unatumia maji ya chumvi kuoga na sabuni za kawaida huo mba huwezi kutoka...mm nakushauri utumie sabuni za magadi na pia uwe unajisugua vizur kchwani unapooga.
  5. kau

    Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

    mtaona baada ya muda wale ma DC wateule lazima waletwe redion..akina makonda na mboni...
  6. kau

    Ni wife material ila hana hips

    Kwani hizo hips zinakusaidia nn wkt ushapima mashine ukaona iko poa....
  7. kau

    Dhana kuhusu Ndimu au Limao

    hyo point ya kwanza cjaielewa .....
  8. kau

    ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

    hongera...EATV nayo vp,itaonekana DSTV?
  9. kau

    Mtoto asafiri na ndege kutoka Dar hadi Zanzibar bila ticket

    Mm nadhan huyo mtoto alisafir na ungo...
  10. kau

    Serengeti Fiesta vs Kili Music Tour

    Hawajawai kugongana kwenye shoo ila zte zinafanyika katika mwez mmoja
  11. kau

    Serengeti Fiesta vs Kili Music Tour

    Mm nashauri haya matamasha yangekua yanapishana kuanzia miez mitatu au minne
  12. kau

    Kamata mwizi

    Habar zenu wana jamiiii... Naomba kufaham ni software gani ambayo unaweza install kwenye simu na kuweza kapata sms na location za mpenz wako bila ya yy kujua....?
  13. kau

    Picha: Mtunisi awachana "LIVE" Diamond na Wema

    Hv na ww pia unajiita msanii mkongwe?ama kwel ukongwe wa cku izi ni wa kidijitali
  14. kau

    Kujua tabia na tamaduni za wamatengo na wangoni

    Habari za asubuhi wana jamii, Ningependa kufahamu tamaduni za haya makabila ya wamatengo na wangoni ambao asili yao ni Songea. Pia ningependa kufaham tabia za watoto wa kike kutoka kwenye hzo kabila.
  15. kau

    Interner

    Jaman ningependa kufaham ni mtandao upi wa simu ambayo internet yake iko fasta
  16. kau

    Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    Inabdi wa muajiri Martin kadinda au sheria ngowi
  17. kau

    How to download video

    .okay mkuu ntalifanyia kazi
Back
Top Bottom