Search results

  1. M

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    serikali inaposhindwa kukemea mambo haya ndiyo maana tumefika hapa tulipo,leo hii hizi vurugu nimatokeo ya siku nyigi ambayo watawala hawayakemei mbali wanashabikia udini ,kingine dini ya waisilamu wanatakiwa watoe mafundisho mazuri kwa vijana kuliko ilivyo sasa maana kila tukio mbaya ni la...
  2. M

    Mabinti Wa Sekondari Na Picha Za Kihasara!

    kuwepo kwa shule za bweni siyo tatizo tatizo ni kwamba haya mambo ya utanda wazi yana wafanya vijana wengi wafikili zaidi ngono kuliko maarifa ndiyo maana tunakosa wataalamu maana kama leo yuko shule anafikilia ngono atakuwa mtalaamu kivipi ilihali akili yake iko kingono zaidi?
  3. M

    kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kudate wanaume wadogo? nipeni siri

    hiyo yote ni ushetani haiiingii akilini kutembea na kizee ukafikili unapata sitarehe katika sayansi mwanamke akifikia miaka hamsini anakoma siku zake hata raha ya mpenzi inaisha iweje wewe kijana uanze kufikili kinyume wakati wapo vija wezako ambao utapata raha kamili?
  4. M

    ulishawahi kujiuliza hili?

    kwanini unsaherehekea siku yako ya kuzaliwa siku ambayo ulitoka tumboni mwa mama na wakati uhai wa binadamu unaanza sikuambayo mimba imetungwa? na unakuwa tumboni mwa mama kwa miezi tisa? hii miezi kwa nini huwa hatuitambui kuna mtu amewahi kujiuliza mimi na pata taabu kwenye hili maana kama una...
  5. M

    Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi

    naunga mkono hoja hasa kwa wale wa mijini
  6. M

    hodi hodi wanajamii forums na kisa chakweli naomba mawazo yenu

    nashukulu sana kwa wote mliotoa michango yenu japo kuna mmoja alitaka kujua ni mke ,mchumba au mpenzi? mimi niliweka yote haya makundi makusudi ilinione michango itakuwa vipi lakini kiukweli ni MKE ndiye aliyefanya hilo kosa na simara ya kwanza alishafanya hivyo mume akamsamehe lakini imejirudia...
  7. M

    KICHWA KINAUMA JAMANI.....naomba msaada!!!! si utani hata kidogo.

    pole sana kwa maelezo yako inaonyesha huyo binti hakuwa na iyo bikira kama alivyo kueleza isipokuwa siku husika alikuwa pengine kwenye siku zake naye akaona atumie hiyo kama danganya toto kwako ,kwa maana mtu mwenye bikira anajulikana tu shuguli yake huwa pevu sana mpaka kufanya hilo tendo...
  8. M

    hodi hodi wanajamii forums na kisa chakweli naomba mawazo yenu

    kama una mpenzi ,mke ,mchumba kisha ukangudua ametoka kumegwa bila ya wewe kumfumania lakini kukawa na mazingila ya kukufanya uhisi hilo jambo na baada ya kumbana mhusika akakili kweli nimetoka kumegwa ungekuwa wewe ungechukua hatua gani? naomba mawazo yenu
  9. M

    Mke akikuzidi elimu,kipato penzi linaweza kudumu?

    katka hili kila mtu anatakiwa kujitambua yeye ni nani bila kujari vipato maana hapo kwenye kipato ndiyo mambo huanzia kuharibika lakini kama kila mmoja ataonyesha mapenzi ya kweli hili halitakuwa nauzito katika ndoa kila mmoja atafurahia tu maisha bila kujari kama mwenzake anamzidi pesa au...
  10. M

    Naombeni ushauri wandugu

    kwanza pole sana dada yangu ilakuna jambo moja lazimaulitazame inawezekana katika hili na wewe unahusika kwa mumeo kutoka enje kwa miaka hiyo yote wengi hapa wamelaumu upande mmoja tu lakini katika ndoa kuna mambo mengi yanayo changia inawezekana wakati wewe unatoa hiyo misaada ulijisahau na...
  11. M

    hiki ni kisa cha kweli 2011 kilitokea

    wakati mimi huyu rafiki yangu ananielezea hili tukio alisema kuwa hata heshima imepungua na swala la uyumba anapewa mke akipenda na wala siyeye akipenda wakati wote mke anadai yeye amechoka na kazi kiukweli mimi sijaowa ndiyo maana nilipata taabu sana juu nimshauri nini na mkewe namfahamu...
  12. M

    hiki ni kisa cha kweli 2011 kilitokea

    mke anafanya kazi serekalini na bwana anafanya kazi kapuni binafisi juu ya kuhama inabidi labda mwanaume aombe uhamisho kisha mwanamke amfaate mumewe nimesoma zote posti za wachangiaji kuna mmoja amesema ya kutunga siyo hii niukweli na juu ya kuomba ushauri ni baada ya yeye kukosa uamuzi ndoa...
  13. M

    hiki ni kisa cha kweli 2011 kilitokea

    kuna rafiki yangu ameniomba ushauri juu ya hiki kisa cha ukweli : yeye umeowa miaka mitano iliyopita na wamejariwa kupata mtoto mmoja mwaka jana alienda kikazi manyara kama mwaka mmoja hivi kwa kipindi chote hicho akawa mbali na wife katika hali asiyoitarajia baada ya kuridi mwezi wa kumi na...
  14. M

    NDOA: Zamani vs Siku hizi

    katika maada hii mimi na changia kama ifaatavyo ndoa za siku hizi wengi tunakurupuka ,hatujipi muda wakutosha wakuchunguzana pili hatukuzijua familia za wenzetu vizuri tofauti na zamani wazee walituma watu kwenda kuchunguza familia zawezetu wanaishi vipi
  15. M

    Nimekuwa mdau wa jf napenda kuuliza hivi ni kweli wote tuna wito wa kuoa au kuolewa?

    nashukulu wote mliotoa michango yenu lakini niwakukumbushe jambo moja kwa wale wenye imani kama yangu yaani wakirstu katika bibilia kuna namba kubwa sana ya watu walioka kaa hapa duniani na wakamtumikia mungu bila kuoa wala kuolewa tena vizuri .wito niliouzungumza mimi japo michango mingi...
  16. M

    Wavulana na suruali chini ya makalio,vipuli,kujichubua na kusuka'Je kuna faida gani?

    kila binadamu ana ainaya ukichaa fulani hivi watu wa seikolojia wanajua hili sasa kikizidi ndiyo haya uliyoyaandika mtu anaanza kuyafanya kwa kisingizio chafasheni na mtu mwingine anamshangaa yeye haoni maana ukichaa wake uko juu na hii pia niaina flani ya kujikataa unatamani mambo ambayo wala...
  17. M

    Toa maoni yako: Mabadiliko sheria ya ndoa!

    mutoa maada mapendekezo yako hayajakaa vizuri na hakuna ambaye atakuwa tayari kuyakubali maana wewe umedai apoteze kila kitu sasa watu watakuwa wanafanya makusudi ilimtu aondoke yeye abaki na mali kwa ujumla mm sikubaliani na hiyo sheria
  18. M

    Nimekuwa mdau wa jf napenda kuuliza hivi ni kweli wote tuna wito wa kuoa au kuolewa?

    katika ukweli kila binadamu yupo hapa duniani kwa kazi maarumu inashangaza watu wanajadili ndoa nyingi siku hizi zina vujika sababu kama nilivyo anza siwote wanawito wakuoa au kuolewa tatizo hatufanyi umakini katika kuchagua katika jambo ambalo kila siku binadamu anafanya makosa ni hili la kuoa...
  19. M

    Mke huyu ni balaa jamani!

    kwakuwa ni mkirsitu pita katika duka la vitabu pale posta mpya kanisa katoriki ulizia kitabu kimeandikwa ndoa yangu kitakusaidia sana pengine kupata ushauri mnzuri zaidi wakumueleza wengi tunakutana na matatizo kama haya na makosa ni yetu tokea tunaanza uhusiano matokeo yake tunapata galama...
  20. M

    Wanawake wa kingoni kutoka Songea wanasifa gani?

    tatizo lingine la wangoni siyo wazuri sana kunako 6x6 na ndiyo maana hata wakiona wao mwanaume lazima awenakidumu kingine kwa ajiri ya kukata kiu maana akitengemea home hapewi
Back
Top Bottom