Search results

  1. A

    Ushauri: Azam Tv angalieni watangazaji wenu hasa kwenye uchambuzi wa mpira

    Katika siku za hivi karibuni kumetokea wachambuzi wengi katika soka letu la Tanzania, ambapo wengi wao wanatumia forum ya Azam Tv katika kujitafutia umaarufu wakati katika jamii ni watu ambao wanafadhahisha sana jamii katika maeneo yao ya kila siku , ushauri unapikelewa au kukataliwa, angalieni...
  2. A

    Wito: Waziri Jafo tumeona maelekezo ya Geita na Mpanda ni maamuzi mazuri, Temeke je?

    Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda. Lakini Mh. Jafo watu wengi wanajiuliza kuna lile Gari la Mkurugenzi wa Temeke ambalo limenunuliwa 400M mwaka...
  3. A

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    sababu maalum ipi? kutukana waandishi wa habari na watumishi wake?
  4. A

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    huyu DED inasemekana hata baadhi ya viongozi wa mkoa na wilaya anawadharau nani yupo nyuma ya huyu jamaa?
  5. A

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    Hizo pesa kazipata wapi? Maana inasemekana anahujumu miradi ya maendeleo kama mradi wa DMDP.
  6. A

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    lakini kwa utaratibu walichofanya itv ni sahihi maana kiutaratibu mwenye majibu ni DED
  7. A

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    Jana wakati nafuatilia taarifa ya habari ITV saa mbili usiku niliona mgogoro ulipo katika kiwanja mojawapo kilichopo Yombo wilaya ya Temeke lakini wakati mwandishi wa habari anatafuta ukweli wa jambo hilo alipojaribu kumpigia simu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ajulikanaye kwa jina la...
  8. A

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    duh Mkuu uliona mbali
  9. A

    Nimelazimika kuileta hii video hapa, Nisamehe CHADEMA

    nimetokwa na machozi dah afu bado majizi yanataka kwenda ikulu
  10. A

    Magazeti: Zitto ataja majina ya walioficha mabilioni Uswizi

    hihihihi kumshabikia zzk yataka uwe na roho ya paka
  11. A

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    aibu sana promo zote zile kumbe utapeli dah yudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom