Search results

  1. N

    Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

    Hiyo post unayoisema ni ya mwaka gani na huu ni mwaka gani?
  2. N

    Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

    Ujaluo unahusiana nini na hii thread?
  3. N

    Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

    Mimi ni msafi ndio maana BF wangu haachi kuzama, ningekuwa mchafu hakika asingesubutu kuzama huko.
  4. N

    Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

    Wadau naomba msaada, Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi mpaka akakata mawasilino, nikamwomba msamaha ili kujua shida ni nini? Akaniambia nambania kuzama...
  5. N

    Ni nini mtazamo wako wewe mwanandoa katika scenario hii

    Asanteni kwa ushauri, nimeelewa sasa shida iko wapi? Nitafanya sehemu yangu. Be blessed all
  6. N

    Ni nini mtazamo wako wewe mwanandoa katika scenario hii

    Asante nyaningabu, ndio kaiweka baada ya mkwaruzano. Hajawi kuweka hapo awali tangu amenioa. Kinachonikwaza ni kuwa tumetofautiana amekimbilia public, kuna watu watahoji au kutaka kufahamu nini chanzo cha kuweka hiyo picha na ndipo anaweza kuweka mambo ya ndani kwenye public. Ndio kuna picha...
  7. N

    Ni nini mtazamo wako wewe mwanandoa katika scenario hii

    Habari wana jamii, Ni takribani miaka miwili imepita tangu nimeolewa na tuna mtoto mmoja. Mume wangu huyu alifiwa na mke wake wa kwanza miaka mitano iliyopita na akamwachia watoto wawili ambao tunaishi nao pia. Basi mimi sio mzuri sana na mtembeleaji wa social network sababu ya ubusy wa kazi...
  8. N

    Honda CRV inauzwa jijini Mwanza

    Habari Gari aina ya HONDA CRV inauzwa hapa jijini Mwanza. Inaingia nchini March, 2015. Namba ya usajili ni DDM, bei ni 10m. kwa mawasiliano piga namba. 0765072213 Picha zitafuata kesho
  9. N

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Kumbe wa kwangu bado kijana sana ee
  10. N

    Mwanaume kupeleka posa

    Yarabi tobaaa
  11. N

    Mwanaume kupeleka posa

    Enyi nyote mliooa tayari, je mlimtambulisha binti kwenu baada ya posa au kabla ya posa?
  12. N

    Mwanaume kupeleka posa

    Kwenye hiyo majority, binti atatambulishwa kwao kijana kabla ya posa au baada ya posa?
  13. N

    Mwanaume kupeleka posa

    Hi all Najua kuna mila na desturi za kibantu ambazo huwaga zinaingiliana. Sasa nauliza hivi suala la mwanaume kupeleka posa huwaga anapeleka baada ya kumtambulisha mwanamke kwao au kabla. Kuna couples nilishagaziona wanaanzia kwao mwanamke na kuna zingine wanaanziaga kwao mwanaume. Je...
  14. N

    Je kuna ulazima?

    Asante kw aushauri...
  15. N

    Je kuna ulazima?

    Kristu..... Kuuliza sio ujinga, ikitokea umeachana na mpenzi wako kisha ukapata mchumba. Je kuna ulazima wa kumjulisha x wako kuwa umepata mchumba? Let say mnaishi mikoa tofauti ambapo sio rahisi kwa yeye kupata habari zako isipokuwa kupitia kwako? Ukishamjulisha na mipango ikaendelea...
  16. N

    Wema Sepetu awajibu wakware wa mitandaoni

    Waweke upande mzima wa kadi ili tuone aina gani ya gari, sio kuweka upande mmoja hata bajaj au boda boda inawezekana kuwekwa kwa upande mmoja! "You can fool all people but not all the time!!!!!!!!!!"
  17. N

    Nywele chini ya Kitofu

    Hakuna madhara, hata mie ninazo huwa nazipunguza then zinakuwa!
  18. N

    Tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo

    Ni kweli mtoa mada. Nimeshaona ndoa kadhaa ziko chali kisa mama wakwe na ukiangalia mabinti tabia zao km za mama zao
Back
Top Bottom