Search results

  1. M

    Tunatafuta Mechanical na Electrical Engineer

    Awe na uzoefu wakutosha Tuko Dodoma Town ni kampuni kutoka Nje Mshahara na kila kitu ni makubaliano.
  2. M

    Piece work ya EIA

    Na mimi nataka kwani ndiyo fani yangu
  3. M

    Vipi magereza wameita professional kwa ajili ya interview?|

    Naomba kujuzwa jamani jamani kwa mtu anayefahamu
  4. M

    Environmental Engineer anatafuta ajira

    Nina degree moja yaani Bsc in Environmental Engineering
  5. M

    Environmental Engineer anatafuta ajira

    Kwa yeyote mwenye NGO'S, company, Industry na mwenye uhitaji wa fani kama hii nipo tayari kwa muda wowote nitakao hitajika. Utalaamu wangu ni kama ifuatavyo; computer application:- Microsoft Office (word, Excel, Power Point), Auto Card, Arc card, Epanet and Internet Explorer...
  6. M

    vurugu zaibuka kati ya kantalamba sec na sumbawanga TC

    chuo cha vunjwa vioo vyote na wanachuo wamepigwa vibaya mno wengine walazwa na wengine hawaeleweki walipo kisa ni mwanafunzi wa kantalamba kupigwa na kunyang'anywa simu wakiwa na demu wake kibindi cha disco hadi sasa hakieleweki. maana ni shule nzima ilivamia chuo.
  7. M

    Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari

    Tunako elekea kubaya sana na imebaki miaka mitatu ya dhiki na tabu tuombe ndugu na jamaa wasiugue hatuna watetezi wa kweli ila tukiamua mimi na wewe tunaweza.
  8. M

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Nimesumbuka sana bado sijafahamu dawa ya mba wa kichwani tafadhari msaada
  9. M

    Hatimaye Ajira mpya walimu wenye shahada haya hapa

    Ajira za walimu zimetoka angalieni kwenye tovuti ya elimu www.moe go.tz
  10. M

    Kwanini waislam wengi wanataka rais ajaye atoke Zanzibar?

    Mi nazani zamu yao ilikuwa baada ya mkapa baada yakuona mwisilamu mwenzao kapita wakaona hamna tabu sasa wanataka waendelee wao tu.
Back
Top Bottom