Search results

  1. C

    NGARA ni Tanzania ama?

    Wacha upuuzi wako. Kama huna habari ya kweli ni vyema kunyamaza. Sehemu zote unazozitaja hata huzitaji sawasawa. Ngara ni Tanzania na wahangaza sio watusi ni wahangaza. Wana clans nne na lugha yao ni moja, kihangaza ambacho hushabihiana sana na kirundi, kinyarwanda , kiha na kisubi.
  2. C

    Nani Mkweli Juu ya Mauaji ya Polisi Ngara?

    Inasikitisha kwamba askari wetu wameuawa kikatili. natoa pole kwa familia zao. Lakini ukweli pia ni kwamba maaskari wengi wanaokuwa mipakani hasa Mugoma, Kabanga, Murusagamba na Rusumo wanjifanya Miungu watu. Hiingii akilini askari aliyefundishwa jinsi ya kumkamata raia hata kama ana silaha...
  3. C

    Tuwekeni wazi Watanzania, mauaji ya raia na mifugo mkoa Kagera - serikali ipo likizo?

    Inasikitisha kuona mtanzania kiongozi wa leo kukumbatia wageni na kudhalilisha wananchi wenye nchi. Hawa wageni walikuwa wanaongea kana kwamba wana haki hata ya kulindwa na serikali ya Tanzania !! Watu wa ajabu kabisa. Ni vyema watimuliwe warudishwe kwao na mifugo yao na hao viongozi uchwara...
  4. C

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Uraia wa nchi mbili ni hatari kwa nchi yetu. Haufai. Nyerere hakuwa mjinga kuukataa. Sababu zilizofanya kukataliwa bado zipo.
  5. C

    Odila Ongara afariki dunia

    Mzee Ongara kumbe alikuwa bado hai !! Alikuwa muungwana sana na Katibu mkuu safi sana kwa muda mrefu. Mungu amlaze mahali pema peponi.AMINA
  6. C

    Tanzania isitishe uhusiano na Rwanda juu ya DRC?

    Ni wakati muafaka kwa Tanzania kukemea Kagame na Museveni kuwaonea Congo. Ubabe wao haufai.
  7. C

    Jina la mto NGONO lamuudhi mkuu wa mkoa Kagera

    Mkuu wa mkoa ana matatizo yake. Asituvurugie majina ya enzi na enzi. Badala ya kufikiria jinsi ya kuleta maendeleo yeye yuko kwenye mambo yasiyo na tija !!
  8. C

    Kiongozi wa Upinzani RWANDA VICTOIRE INGABIRE jela 8; Alisha Uliza kwanini WAHUTU wafu hawatambuliwi

    Rwanda ni nchi ya utata mtupu unapozungumzia ukabila. Hawa jamaa wote wanazaliwa na ukabila na wanakufa na ukabila. Mungu awasaidie wapate kiongozi ambaye amestarabika na kuona mbali kwamba ukabila hausaidii kitu bali unauwa umoja na maendeleo. Kagame bahati mbaya si mtu huyo mkombozi. Ni...
  9. C

    CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    Kama maneno waliyozungumza yanawakilisha msimamo wa CHADEMA basi chama hicho hakifai kwa kuwa wachchezi hawana haki ya kuwa huru kufanya uchochezi, ni haki kuthibitiwa kwa kila hali kwa usalama wa wengi. Kwa hakika mzee Karume tunam-miss kwa swala kama hili maana saa hizi angeshalimaliza kitambo...
  10. C

    Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    RC ameonyesha uoga wa hali ya juu. Kama ni marufuku ni marufuku kwa mihadhara ya uchochezi. Lakini kama ni mihadhara ya kueneza dini husika kwa nini nayo ipigwe marufuku ? Wachochezi wote wa dini zote iwe marufuku kufanya mihadhara.
  11. C

    Askofu mkuu wa kanisa la TAG atoa tamko kuhusu chokochoko za udini

    Ukibishana na kichaa watu hawataelewa nani ni mzima kati yenu. Kwenda shule ni vyema sana.
  12. C

    Zitto: Contracts review is a publicity stunt and creation of unnecessary uncertainty in the sector

    The Prof is very much right. Any sensible person should support his moves in the current situation where most of our politicians are busy amassing wealth for their families. Keep it up Prof. Its better to remain with our minerals and petroleum in the ground than foolishly handing them over to...
  13. C

    Huu ni wizi wa mchana wa Fire

    Haya malipo ni wizi na usumbufu tu. Fire sioni uhusiano wao na magari. Gari likiungua unapata fidia toka bima!! Hawa askari wa fire walikuwa wasumbufu sana pale BP/Bandari. Wanadai rushwa kama haki yao eti kwa kuwa hana sticker !! Hivi mtu gari lako likianza kuwaka watu wa fire watakuja kuzima...
  14. C

    Rwanda's Paul Kagame warned he may be charged with aiding war crimes

    Dictator he is. But the fact is those people require the type of Kagame for discipline and development. Ni wakorofi sana. Na ukabila ndio unawatafuna mpaka mwisho wa ulimwengu. Lakini mambo ya kuingia Congo atakavyo si sahihi.
  15. C

    Jenerali Ulimwengu: CCM iko kitandani - inangojea kukata roho

    Kama Ulimwengu si raia wa nchi hii basi wananchi wote wa mipakani si raia wa Tanzania. Watu waliokuwa ni fikra finyu ndio wanaokuja na hoja kama hizi za kibaguzi na kijinga badala ya kufikiri na kutoa hoja inayoeleweka. Ulimwengu ni Mtanzania na amefanyia nchi hii mambo mengi likiwemo la kuwa na...
  16. C

    Hatuna maji, Umeme, CT scanner, tunakimbilia kujenga Kigamboni kwa Matrilioni!!!

    Hatujui kuchagua vipaumbele. Ujenzi wa mji si kipaumbele hata kidogo kwa nchi yetu maskini. Vipaumbele vinatakiwi viwe nishati, elimu, maji, mawasiliano, barabara na afya.
  17. C

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Kusema Blandina kahusika ni kupotosha na kuna chuki binafsi ndani yake. Msimuonee mama huyu kwa kumzulia mambo ambayo hayamhusu.
  18. C

    Hali katika Baraza la Uwakilishi Zanzibar sio Shwari juu ya Muungano.

    Vatican ni nchi, ndio ukweli. Mtu anayefikiri si nchi hajui ni wa kuelimishwa. Akikataa kuelimishwa aachwe alivyo. Kuna siku atazindukana.
  19. C

    Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

    Kwa watu wanaojua jinsi serikali inavyofanya kazi, sioni kosa la huyu mama. Tatizo ni kwamba ilibidi watu kadhaa kutolewa kafara kupunguza jazba za walalamikaji. Mama huyu ni mchapa kazi sana na anajua analofanya. Ni vyema kumzungumzia mtu kama unamfahamu vizuri kuepuka kumwonea.
  20. C

    Ukrainian newspaper depicts Africans and Arabs as monkeys

    Hakuna mtu mwenye rangi nyeupe asiye mbaguzi kwa mtu mweusi wanatofautiana tu pale mwingine anapoonyesha dhahiri na mwingine inakaa rohoni na kujifanya mwema kwa kuwa kuna kitu cha kumnufaisha anatafuta kwa mweusi husika. Wazungu, wahindi hata warabu (ingawa wengine ni weusi kuliko hata sisi)...
Back
Top Bottom