Search results

  1. MUSONI

    Umri Upi ni Sahihi kwa Mtu Kustaafu kazi?

    1. Ni hoja nzuri mno muda wa kustaafu uko kisheria kuna 60/65/70 kutegemeana na aina ya kazi nk 2..Kwangu kwa utumishi mud muafaka ni miaka 65 na kumpa mtu sasa kuwa na muda wa kutosha kuwa na familia na kusimamia taratibu miradi yake kadhaa na kupata muda na wajukuu na wanae ambao kwa muda...
  2. MUSONI

    Pongezi za dhati kwa jeshi la polisi, shukrani kubwa kwa CHADEMA digital. Maandamano yatafanyika kama yalivyopangwa

    Jeshi la polisi limesema wazi bado hakuna kibali cha akukubali wala kukataa maandamano VEMA WANACHADEMA KUPEWA TAARIFA SAHIHI ......
  3. MUSONI

    Asante Mama Samia kwa utenguzi huu; Ulichelewa kidogo

    Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
  4. MUSONI

    DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

    TUTAKUWA SERIOUS LINI KWELI HASA TASNIA YA SHERIA
  5. MUSONI

    Tetesi: Wabunge kumpigia kura Spika wa Bunge kutokuwa na imani

    Kati ya vitu chechefu sana ni kusukuma hoja ya report ya CAG hadi Nov sio sawa kabisa MAWAZIRI katika wizara zao huwa hawajibu hiyo report ni Katibu mkuu ama Mkuu wa Taasisi na wasaidizi wake WAZIRI HUPEWA TAARIFA YA MAJIBU BAADA YA CAG KUITWA KUKAGUA MAJIBU WHY SASA ISIKUMWE HADI NOV
  6. MUSONI

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    DATA NA AIRTIME ZA VODA KWA KWELI PASUA KICHWA
  7. MUSONI

    Mwisho wa upigaji? Mfumo mpya wa manunuzi

    Mrongi ndugu yangu kunyonga hakujawahi kuwa suluhu ya matatizo hasa kama haya ya manunuzi na matumizi sahihi ya fedha za umma.....SWALA LA MSINGI NI SISI WOTE WAUZAJI,WANUNUZI,MAOFISA WENYE DHAMANA KATRIKA MNYORORO WAHATUA ZOTE KUMUOGOPA MUNGU,KUFUATA SHERIA ZOTE NA KUTOA NAFASI WAZI BILA...
  8. MUSONI

    Naona bunge laanza kujitambua sasa

    hakuna sheria ya kunyonga tanzania ni kifungo maisha .....
  9. MUSONI

    Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    KUBWA NI AMANI NA UPENDO KWA WATANZZANIA KUPINGANA NA UFISADI,UONEVU NA KUMALIZA KADHIA ZA MAJI NA UMME ONCE AND FOR ALL BADALA YA KUWA NA ZIMA MOTO TATIZO LINAPOTOKEA... 1.Tuwe na vyanzo vya maji vya kudumu 2.Taratibu nzuri na za wazi kwa mikataba mbalimbali ziheshimiwe 3.Swala la mafuta...
  10. MUSONI

    Rais Samia atengua uteuzi wa Eric Hamissi, Mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

    Hapa kunatakiwa utashi wa Serikali kusimamia kwa vitendo na kupush agenda ....vijana wa bandari hasa vijana wa clearing and forwarding na makarani wa mizigo na kitengo cha mafuta balaaa utafikiri wana mabenki nyumbani mwao kufuru pale LIQUID KURASINI ETC NA KIGAMBONI... 2,KUNATAKIWA KUWA NA...
  11. MUSONI

    Nawakumbusha: Mwisho wa Mgao, matengenezo na kukatika kwa umeme ni leo saa 6 kamili usiku na itabaki historia

    Naomea Maharage na timu yake warudishe tuhela twangu nimenunua kagenerator haha
  12. MUSONI

    Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

    Kwa hiyo tuanza na Aden Rage/Bashe NAIBU waziri/Abrahman Kinana hahaha hiyo ni tabia ya mmoja na kutokana na kudhurumiwa na polisi madini yak e na waiofanya wako njema hakudhurika duuuuu
  13. MUSONI

    Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KWA KWELI HII NI AHABU SANA KWA WATUMIAJI WA MITANAO YA SIMU KWA PESA MAKATO NI MAKUBWA MNOOOO UUUUU MWIGULUumempotosha sana Mama yetu duuuu
  14. MUSONI

    TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

    rip uzoefu barabarani mbona gari zuri imara nk ....
  15. MUSONI

    Dkt. Naomi Katunzi ni hazina kwa Taifa letu

    MWACHENI MAMA WA WATU MJANE APUMZIKE SURUBA NA KULA PENSION TARATIBU NA WANAE MA Dr pia ....2 hizo part time zinatosha kutunza pension yake
  16. MUSONI

    Hatimae mkuu wa mkoa wa Dodoma Antony Mtaka Aomba Radhi kwa Umma

    SISI HATUNA NENO AMUOMBE MSAMAHA BOSI WAKE AMBAYE ANAMUWAKILISHA NA WANAISHI NAYE MJI MMOJA ...NAONA MAMA ANAPEKUA MAJINA YA AKIBA HAHAHA
  17. MUSONI

    Baada ya kumbana akanifungukia kuwa ni muathirika wa UKIMWI

    MJINI HAPA WEWE DATE SIKU MOJA NA GUEST NA WEWE SI BURE KAPIME HAHAHA
  18. MUSONI

    Naamka nakuta kaniblock

    NAONA UBAHILI UMEKUPONZA HAHAHA
Back
Top Bottom