Search results

  1. T

    No Comment

    ni miaka hamsini ya shida, mateso na manyanyaso.
  2. T

    Badilisheni story

    Anataka kusema yeye hakuna aliyefanana naye? Labda alisema wakamcheka!
  3. T

    Umasikini wetu ni akili sio mali wala fedha

    Unaweza kumulza mtu, we ni maskin akajbu ndiyo, ukimulza kwa nin atakujib hana hela, ukimulza ukimpa hela km milion tatu ataifanyia nin il kesho asiseme tena yeye ni maskin hataweza kukujibu. Hiyo ni kwa sababu hana akil ya kuweka malengo, hana mpanglio wa maisha yeye anaish mrad kunakucha na...
  4. T

    Wadada wa JF Mnanipagawisha

    Jaman mwache hzo ndo hisia zake. Ndo mwisho wake wa kufkir.
  5. T

    Umasikini wetu ni akili sio mali wala fedha

    siyo hivyo 2 Topical, mtu asubuh na mapema anaamka anakaa kwenye kochi anatazama tv. Program yenyewe music, nusu saa badae ananunua vocha elfu tatu elfu mbili, bdo hajala, na pengne hana kaz, unadhan huyu tutamwita maskin asiye na fedha. Akil ndo kila kitu.
  6. T

    Umasikini wetu ni akili sio mali wala fedha

    Ujue mwalim aliyaona haya na ndo mana enz zake redio alimilik yeye 2? Alijua tutakurupuka kupokea utandawaz na kuuacha ujamaa na kujitegemea
  7. T

    Umasikini wetu ni akili sio mali wala fedha

    hata mmasai anahtaj ng'ombe za kutosha ndo umpate bint yake. Bdo ni gharama tena kubwa 2.
  8. T

    Umasikini wetu ni akili sio mali wala fedha

    Unaweza ukawa na fedha lakin kam akil ya kupambanua mambo huna, bas bdo tutakuita maskini. Ni kwel umaskin ni pamoja na maradhi, ujinga, rushwa, na mengne meng. Hivyo tunahtaji kuelmika pia ndipo tutaanza kutoka katika umaskini wetu
Back
Top Bottom