Search results

  1. Complicator EM

    Ninashida na mwanashelia plz contact by 0768582538

    We vp sasa si uende kwenye vyama vyao si vipo, unatuletea mapozi hapa kwenda zako.
  2. Complicator EM

    Msaada wa kisheria

    Nimeweka maelezo yake kama yalivyo
  3. Complicator EM

    Ninashida na mwanashelia plz contact by 0768582538

    Acha kutanguliza namba ndg yangu we mwaga data zako hapa utasaidiwa free of charge.
  4. Complicator EM

    Msaada wa kisheria

    Maelezo yake kama yalivyo: Nilikuwa nafanya kazi kwenye shirika moja la umma hapa nchini. Kulitokea tukio la wizi mm na wenzangu tukakamatwa na kupelekwa mahakamani, kesi ile imeunguruma na hatimaye tumeishinda jamhuri kwa mahakama kutuona hatuna hatia. Kwa upande wa kazini tulikuwa...
  5. Complicator EM

    Msaada wa kisheria

    Yap, ni cha serikali.
  6. Complicator EM

    Msaada wa kisheria

    Kuna rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kiwandani sasa ukatokea wizi fulani yeye na wenzake walipelekwa mahakamani na kusimamishwa kazi hapo hapo lkn waliendelea kulipwa mishahara. Sasa kesi iliyoko mahakamani wameshinda na mahakama imesema hawana hatia je kwa wajuvi wa sheria nini kinafuata...
  7. Complicator EM

    Kwanini Usiri mkubwa wa Mikataba kati ya Tanzania na China?

    Mleta mada una visa na Yahya mimi sioni kosa alilolifanya wote tulikuwa tunaangalia usidhani una tv peke yako tu. Alichokuwa anakifanya Yahya alikuwa anachombeza na alikuwa akimpa muda mwingi tu Heche kuongea anayoyajua.
  8. Complicator EM

    Picha: Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi mahakamani

    Lkn huyu jamaa mbona anafanana sana na ile picha iliyochorwa? Huenda kuna mtu alichukua picha yake akaipeleka jamaa wakaichora tu.
  9. Complicator EM

    Uchaguzi mabaraza ya katiba Kasulu wanuniana

    Mleta mada upo sawa kabisa nilikuwepo juzi jumamosi kwenye uchaguzi kitongoji cha mrusi pale stand mpya kasulu mjini watu walikuwa wamejitenga waislam pembeni na wakrsito pembeni maka mm nikawa sielewi.
  10. Complicator EM

    Askofu Isaya Chambala analinyanyasa kanisa

    Una lako jambo! Kwani hamna viongozi walio juu yake upeleke hayo malalamiko yako?
  11. Complicator EM

    Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

    Baada ya taarifa ya habari TBC walieusha marudio ya hotuba ya Jk. Wakati hotuba inaendelea mm nilikuwa kibarazani kwangu nimetulia na rafiki yangu ambaye ni mwanajeshi wa jeshi la Polisi. Ni wakati sasa Kikwete anazungumzia ishu ya udini ghafla rafiki yangu akasimama na kung'aka eti yaani...
  12. Complicator EM

    Rais Kikwete awaita Ikulu waliohusika na uokoaji ktk ghorofa lililondondoka

    Kama ni uongo basi kausema Nchimbi sio mimi, lkn siamini kama anaweza kuamua kudanganya sehemu nyeti kama ile tena zaidi ya nyeti alizonazo.
  13. Complicator EM

    Rais Kikwete awaita Ikulu waliohusika na uokoaji ktk ghorofa lililondondoka

    Hapana mkuu fools day kwa ishu serious kama hizi huwa mwisho ni saa nne asbh hii ametangaza Nchimbi hazarani na imerushwa taarifa ya habari saa mbili usiku. Sasa mm sielewi huku wengine wanazika wengine wanapiga baga na pizza ikulu.
  14. Complicator EM

    Rais Kikwete awaita Ikulu waliohusika na uokoaji ktk ghorofa lililondondoka

    Yaani Kikwete anaita watu Ikulu tena JKT watu waliokuwa wanafanya kazi kama sehemu ya wajibu wao, hii ni kebehi kubwa kwa watu walipoteza ndugu zao na hasara mbalimbali kt dhahama hiyo iliyosababishwa na uzembe wa serikali. Nilitegemea Jk hizo hela atoe rambirambi na hao watu awalipe night...
  15. Complicator EM

    Rais Kikwete awaita Ikulu waliohusika na uokoaji ktk ghorofa lililondondoka

    Ktk taarifa ya habari Itv usiku huu wakati zoezi la uokoaji likifungwa rasm waziri wa mambo ya ndani ametoa taarifa ya rais kuwa anawashukuru sana vikosi vya vyeshi na watu binafsi waliojitolea kufanya zoezi hilo na amewaandalia dhifa ya chakula cha mchana ikulu April 8. Sina comments.
  16. Complicator EM

    siku ya wajinga na dhihaka ya waandishi wa habari

    Wewe umekamatwa unaanza kulalama nn?
  17. Complicator EM

    Zaidi ya wachimba moram 12 wafukiwa na kifusi Moshono Arusha

    Tanzania, tanzania, nakupenda kwa moyo woote! Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana. Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weeee! Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo woooote! Niliwahi kusema hapa Tanzania kuishi miaka 50 ni sawa na kuishi miaka 100 nchi nyinginezo. Yaani...
  18. Complicator EM

    Mtwara: Dk. Kigoda, Tizeba watimuliwa Mtwara

    Hii nchi bwana yaani waziri wa Viwanda na waziri wa uchukuzi wote wanachoma mafuta toka Dar hadi Mtwara eti wanaenda kukabidhiana makontena. Duh! Kweli shamba la bibi.
  19. Complicator EM

    Tunapodanganywa idadi ya marehemu na Viongozi...

    Ni kweli hatuwezi tukaishi milele duniani lkn nimeangalia kwa ufupi tu hayo majanga tu uliyoyaorodhesha hapo bila kuweka ya ajari barabarani naona kwa Tanzania Life span ni ndogo sana.
Back
Top Bottom