Search results

  1. sixlove

    Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    The same Story kama ninayopitia. Naamini ipo siku, nitakuja na ushuhuda.
  2. sixlove

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Kweli kabisa ndugu. Kwa vifaranga,,ukiweza kudhibiti unyevu na baridi bandani mwao. Unatoboa mpaka hautoamini. Ukija kwenye lishe usiwe mbahili kama una malengo ya soko zuri la kuku wako. Wape lishe nzuri watakufurahisha. Chagua mbegu kubwa hususani pia mitetea,,maana wengi hudhani madume pekee...
  3. sixlove

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Hongera sana. Umepiga hatua. Mimi huwa nafanya hivi. Nawasubirisha mitetea itage na kuatamia kwa wakati mmoja. Wakishatotoa, nachagua tetea moja lenye umbo kubwa na mpole nampatia vifaranga wote..mf 20. Kisha vifaranga nawalisha STARTER kwa muda wa wiki mbili wakiwa na mama yao. Maji natumia...
  4. sixlove

    Je nitumie mbolea ipi kuzuia miti ya Parachichi kupukutisha majani?

    Asante sana. Je natakiwa nichimbie umbali gani kutoka kwenye shina/mti. Asante
  5. sixlove

    Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

    Sarawe- Mahando ni mkoa na wilaya gani mkuu?
  6. sixlove

    Malengo yangu ni kuandaa miche 20,000 ya michungwa

    Safi sana ndugu. Nimevutiwa pia. Je nikihitaji vikonyo vya hiyo michungwa ya valencia kwa ajili ya bading/pading kwa huku mwanza, napataje. Naomba muongozo. Asante
  7. sixlove

    Je nitumie mbolea ipi kuzuia miti ya Parachichi kupukutisha majani?

    Habari wana jamvi. Samahani nahitaji msaada, miti yangu ya parachichi inapukutisha maua. Pamoja na milimao. Je nitumie mbolea ipi kuzuia hiyo hali. Maana samadi huwa naweka kabla ya masika kuanza. Asante
  8. sixlove

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Amen. Imenigusa sana. Nimepata nguvu Mpya. Happy Sabath Day
  9. sixlove

    Natafuta nafasi ya Internship NEMC Kanda ya Kati

    Jisajili TAeSA ndugu,,halafu tuendelee kusubiri. Hata mimi nilishauriwa hivyo. Kwamba taasisi nyingi za serikali zinachukua interns kutoka Taesa. Katika kipindi cha kusubiri pia tuendelee na ufugaji wa kuku, angalau tuwe na uhakika wa protini ya kutosha mwilini tukiwa tunangoja watu waupige mwingi
  10. sixlove

    Various Posts at People's Bank of Zanzibar

    Hawakutaka kutuajiri wanyakyusa naona
  11. sixlove

    Various Posts at People's Bank of Zanzibar

    Naona wameamua kuweka vikwazo katika maombi ya hizi post. Anyway karibuni Mbeya wazanzibari
  12. sixlove

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Namba 1, kama huamini geuza simu yako juu chini
  13. sixlove

    Msaada wajameni

    Inamaanisha eneo unaloingia lina watu wenye ulemavu wa UKOMA, mara nyingi kutembea kwao huwa ni wa shida sana, so SLOW DOWN. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. sixlove

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Wood of goat Sent using Jamii Forums mobile app
  15. sixlove

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Remains 4 eggs Sent using Jamii Forums mobile app
  16. sixlove

    Fundi wa rangi(metallic) mbeya

    PELEKA KWA MCHINA KULE UYOLE KARIBU NA KIYUO CHA DALADALA CHA KILIMO
  17. sixlove

    Pamoja na msaada wote niliompa bado anatoa wapi ujasiri wa kufanya ujinga kama huu?

    WEWE ULIPATA WAPI UJASIRI WA KUMSALITI MKEO NA FAMILIA KWA UJUMLA,,,,,,,,TUANZIE HAPO KWANZA
  18. sixlove

    Shemeji ananipa mitihani

    THE END
  19. sixlove

    Baafa ya kukataa kutindua Makinikia yake yeye ameanza kuja na mipasho

    SHIDA MLIO WA CHIPS ZIKIWA ZINAWEKWA KWENYE MAFUTA ZIMEKUATHIRI,,,,,,,UNASHINDWA KULA KICHURI?
Back
Top Bottom