Me navojua sasa hv tunabana matumizi na ndio maana vikao vyote vya serikali vinafanyika kumbi za serikali. C unaona baadhi ya hotel zinabadilisha matumizi.... TBC FM nzimaaaaa
#USALAMA ZANZIBAR: IGP Mangu asema vitendo vya uhalifu Z’bar ni matokeo ya Maalim Seif Sharif wa CUF kupandikiza chuki kwa wafuasi wake dhidi ya serikali na CCM.
CUF Mbona Mapema Sana? Ivi Hii Ni Kauli Ya Chama Au Kikundi Cha Watu Wachache?
Hivi Kweli Prof Lipumba Anaweza Kubari Huu? Mmeshaanza Kuutia Doa Tayari UKAWA!
Mnafananishaje Maamzi Binafsi Na Ya Chama? Hapa Taratibu Na Kanununi Za UKAWA Zimekiukwaje? Binafsi Sijawahi Kumsikia Yeye Dr Slaa...
CC Chadema fukuza vibaraka wote wanaotumika ni bora kuanza upya kuliko kulea matatizo chamani....na wale wote wanaotumika ni bora waanzishe chama chao ambacho hakitakuwa na katiba wala muongozo wowote hule .....hata kama Mbowe elimu yake ni ndogo lakini ndie yy aliekifikisha chama leo hii mpaka...
Yaliowakuta NCCR-MAGEUZI,CUF,TLP n.k kwa CHADEMA ha ha ha ha ha......Zitto anaangaika tu.....tulishamgundua siku nyingi na kwa taarifa tu....wanaopanga nao kusaliti ndio haohao wanaotuletea......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.