Karibia kila mmoja wetu amewahi kuchoma chanjo ya kujikinga na ugonjwa fulani hasa alipokuwa mtoto. Chanjo za watoto kama chanjo ya kifua kikuu, polio, pepopunda na surua kwa kiasi fulani zimekuwa na mwitikio mkubwa kutokana na kampeni zinazofanywa na serikali na wadau wa afya kuhakikisha kila...
Saratani ya Matiti ni nini?
Kwanza, Saratani ni ugonjwa unaosababishwa na kugawanyika kwa seli za kiungo chochote mwilini bila kufuata utaratibu wa kawaida hivyo kusababisha kuzaliwa kwa seli zenye ukubwa, umbo na uwezo wa kufanya kazi tofauti na inavyopaswa, na kusababisha dalili hatarishi kwa...
Nawashukuru sana wote mliosoma na kunipigia kura. Kipeekee niwashukuru Jamii Forums wakiongozwa na Mkurugenzi wao Mr. M. Melo kwa shindano hili linalotupa fursa ya kutoa mawazo yetu chanya ya kuchochea mabadiliko tunayotaka kuyaona kwenye jamii yetu. Niwashukuru pia washiriki wenzangu wote. Lets...
Inaleta faraja kuona Mhe. Rais anataka kuona mabadiliko ya kiutendaji katika mashirika, taasisi na wakala wa Serikali ili kuongeza tija na waweze kujiendesha kama inavyoonekana katika post ya ukurasa wake wa X (Twitter)
Si rahisi kusema utumie vijiko vingapi kwa sababu kiafya matumizi ya sukari ya ziada (added sugar/free sugar) unayoipata kwenye bidhaa zilizowekewa sukari, na asalli, yanatakiwa yasizidi gram 36 kwa mwanaume na gram 24 kwa wanawake na watoto, changamoto ni bidhaa zetu nyingi ikiwemo asali, soda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.