Search results

  1. manka mpalestina

    milion 15 naweza kupata Rav 4 kwenye yard

    killo The Boss asanteni ila mi naitaji gari ambayo aijatumiwa na mtanzania
  2. manka mpalestina

    milion 15 naweza kupata Rav 4 kwenye yard

    mileg less laki moja,manual au auto ,milango 5.naomba wenye uelewa wa haya mambo ya magari wanisaidie .aksanten
  3. manka mpalestina

    Ndege ya 540 hiyo Kigoma!

    wamiliki ni raia wa nchi gani ?
  4. manka mpalestina

    Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    pdidy itondo lya mwisho kunu ulane.ikwawi lya kasa lyike kama fuko,kiboboru,kana sha ikurang,aa,tumbo kama kishosho shukuru MUNGU kimachame kipo kidogo sheke kuwundo bongolala heyo.
  5. manka mpalestina

    Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    bro wafo nyeke isembo plus mae wafo,kuhusu watoto wako sijui utawafanyaje wakikutana na mabinti wa kimachame awana ujanja wa kutoka ol in ol tunamvuto from heaven madam,chek lizy wanaume wanavyompapatikia iliali weng awajawai muona face 2 face.
  6. manka mpalestina

    Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    mmelazimishwa kuja kutuowa na mimi namaliza univrsty this year 2013 nafunga ndoa nyie endeleeni kutoa mapovu na umaskini wenu wa mawazo mpaka kwenye pochi.at the end ukijipendekeza we gv u mido finger,hahah wacha waseme kesho watachoka
  7. manka mpalestina

    Stupid question, stupid answer

    Unamuhuliza mpenzi wako sasa hivi uko wapi" unasikia akijibu kwa ujasiri nipo mbinguni" ehe
  8. manka mpalestina

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole sana mkuu ni kipindi kigumu hasa kwako na watoto! Mungu awajalie amani yake na kama utahitaji mtu wa kuendelea nawe katika maisha muombe mwenyenz MUNGU akupatie atakae penda watoto wako kama wewe!
  9. manka mpalestina

    Hey,wanawake sijawasikia kuhusu hapa!

    watoto je ? Ngoma mzito
  10. manka mpalestina

    Mjue Aisha aliye mchoma kisu meja wa Jeshi

    Ashukuriwe MUNGU bim dada sio wa pande za kaskazni yangeibuliwa mazito hapa!
  11. manka mpalestina

    Babu Wa Loliondo Alikuwa Mgonjwa Wa Akili

    wapagani na mrengo wa kati
  12. manka mpalestina

    Plz naombeni msaada wa kidaktari

    asante dada ngojea niitafute
  13. manka mpalestina

    Plz naombeni msaada wa kidaktari

    Ugojwa wa sikosel unasababishwa na nini? Na kunaukweli wowote kuwa watu wenye uhu ugojwa miaka yao ya kuishi inahesabika.asanteni wana jf
  14. manka mpalestina

    Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

    point 1,2 na 3 ulikuwa unawaza nini paka umejisahau wakati unatembea kwenda point no 4 .read btn the line
  15. manka mpalestina

    Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

    Mhh nenda fb utakuta wameweka mpaka za familia nani kusifiana kwa kwenda mbele mwayego.
  16. manka mpalestina

    Wakaka na wadada wa jf naombeni ushauri nataka kubadili hata namba kuepuka usumbufu!

    Achana nae huyo atakupotezea muda move on,muhimu ulijitahidi kwa uwezo wako
  17. manka mpalestina

    Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    bora liwepo jukwaa la kuwasema wanawake wa kimachame khaaaa toooo much thread za kutusema dailyyyy .......wat z goood mahari zinaletwa
  18. manka mpalestina

    Tunaoenda Moshi leo Tar 24

    sio watu watatu au mwingine ni group la amfibia
Back
Top Bottom