Nilitegemea jina la waziri mkuu litakuwemo kwa walio jiuzulu!
hapa kuna kamchezo, wanataka kutuziba macho ili tusahau kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu hapa,
huu ni muendelezo wa ile commedy!
Gumzo la leo limejadili kuwa swala la kurudishwa bungeni kwa sheria ya kujadili katiba mpya, ifanyiwe marekebisho. je kulikuwa na umuhimu gani wa raisi kuwa na haraka ya kusign mswada wa sheria kabla ya kusikiliza maoni ya wananchi na vyama vingine?
kama ingekuwa kusign hati ya vita au mkataba...
nyumba iwe na master pamoja na vyumba viwili vya kulala, sebule kubwa dining, parking ya gari na iwe ndani ya uzio. iwe maeneo ya kuanzia ubungo kufuata moro road mwisho mbezi.
bei isizidi laki tatu kwa mwezi. nalipa kwa mwaka mzima. mawasiliano 0654515490
iwe na vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwa master,iwe na uzio, pia parking ya gari ya kutosha. iwe maeneo ya ubungo, kimara mwisho mbezi.
bei yake isizidi laki tatu kwa mwezi
ninahitaji haraka.
mawasiliano, 0654515490: pia ni pm kama unaona ni rahisi.
wakuu huyu binti naishi naye nyumba moja ya kupanga, sasa namuona kaamka saa kumi alfajiri kidume kipo ndani kaanza kuosha vyombo hapo karoni kamaliza na sasa anafagia, hii sio kwawaida yake yeye huwa anaamka saa nne hasubuhi. mmmmh nahisi kuna tatizo,
wakuu nina umri wa miaka 32 male, na mwenzangu ana miaka 27: mwenzangu ni mpare mi mnyakyusa. tulianza mahusiano mwaka 2006; kabla hatujaanza mikakati ya ndoa nikaenda masomoni mwaka 2008. ikawa vigumu kuendelea na mchakato, lakini baada ya kumaliza chuo naona bado hakuna dalili ya kufunga ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.