Search results

  1. fyddell

    Binti mdogo anayemfungia ndani Mama yake mgonjwa aliyepooza kutwa nzima na kwenda kutafuta pesa za kumuhudumia inaumiza wengi mtaani

    So kama tuna hali hiyo je yatupasa kuiangalia huku jamii ikiumia na Kodi wanakatwa? Au kwa mawazo yako unadhani nini kifanyike kurekebisha hali? Sisi wote ni watanzania na tuna haki ya kugawana sawa keki ya taifa.
  2. fyddell

    Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    Ni aina ya Brandy mkuu
  3. fyddell

    Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

    Sasa mkuu mbona kama jibu unalo tayari?! Buy her a new phone and take her to the psychologist.
  4. fyddell

    Njitapu: Nilicheza mpira kwa ajili ya maisha yangu, hata mlinzi wa getini hajawahi kula chakula changu

    Ndiomana alikuwa anagongewa mkewe mpaka kuzalishwa watoto watatu na kuja kujulikana sio wa damu take baada ya miaka 16. Sasa anahangaika Mahakamani akidai the talaka😆😆🙌
  5. fyddell

    IWE SIRI YAKO, USIMWAMBIE MTU

    Kwahiyo nawe ni chawa? Yeye ni mwanaume na kwa anayofanya ndio jasho lake linapodondokea kama mwanaume. Yeye si sawa na wewe unayeomba tu wanaume wakupatie bila kazi yoyote. Toa jasho ili uipate hiyo unayoihitaji
  6. fyddell

    IWE SIRI YAKO, USIMWAMBIE MTU

    Si mnasema 50/50? Kaitafute kwa njia zako mwenyewe😆😆
  7. fyddell

    IWE SIRI YAKO, USIMWAMBIE MTU

    Haha heshimu hisia za mwenzako. If you're there for him just let him do it whenever he wants to feel himself inside of you. Ukishakazwa utalala tu tena usingizi mnono na muruaa😉
  8. fyddell

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mpaka leo kimya duh 🙄
  9. fyddell

    Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

    Hata kama ni mtoto wa billionaire aachike tu. Siwezi kulea watoto ambao sio wangu kwa muda wote ule alafu nitaendelea kuishi na mwanamke pretending everything is normal and we are happy.
  10. fyddell

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Na wewe ndio umeongea nini hapo? Ungesema MASCULINE tu ingetosha. Hakuna msamiati wa masculine man. By the way mawazo yako na yaheshimike maana umeeleweka😀
  11. fyddell

    Chui kala mbuzi 31 wa mzee mstaafu, serikali imelipa Tsh 25,000 kwa kila mbuzi. Hii sio sawa

    Nilitaka nimuulize kitu ila baada ya kusoma comment yako nikaamua kupotezea. Hakika aisee😀😀
  12. fyddell

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hujawahi kuona baada ya kuleta ubaridi likashusha joto na kuamua kulizimia mbali? Hali ya pangaboi au fen ya kawaida kusupply hewa yenye joto au ubaridi itategemea na kiwango cha hewa kinachoingia na kutoka ndani ya nyumba/chumba chako (Air ventilation). Kama ndani ya nyumba yako kuna mgandamizo...
  13. fyddell

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Kwanini uwe na simu janja mbili zenye matumizi ya aina moja kisa kukwepa vitu kama hivi.? Cha msingi na maana ni kutokuwa na video za porno kwenye simu yako full stop. A gentle man can't keep videos of bad contents with him, simu ni yako lakini sio muda wote umeishikilia mkononi, kuna mtu...
  14. fyddell

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Na hili ndio ilikuwa vision and mission ya huo mradi, na sio haya tunayosikia sasa hivi. Kweli hii nchi bila mabadiriko ya kichama, watu wapya kuunda serikali maendeleo ya kweli tutabaki kuyasikia kwa majirani tu miaka nenda rudi.
  15. fyddell

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Tuko nao kitambo tunaruka nao tu.😆
  16. fyddell

    Nahitaji msaada wa kisheria ndugu zangu

    Ukiona wilayani hawakupi ushirikiano na ushahidi unao, panda kwa RPC. Numbers za simu za wakubwa zote zipo kila kituo cha Polisi. Chelea chelea tuje kuibeba maiti yako ikiwa msituni haya.
  17. fyddell

    Nilijiona mjanja kumbe mjinga tu, hatimaye leo nimetapeliwa

    Haha ulitoka pale NMB mpaka wapi na kupaona mbali mkuu? 🤣🤣 Utapeli hauna mjanja na ili usiwe manipulated na maneno yao ni palepale mwanzoni unapaswa uwakatae no matter how sweet the deal is
Back
Top Bottom