Search results

  1. M

    Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    Ujinga ni kubishana bila kuelewa mada, mapovu tu! Mimi nadhani haya mambo ya kidini tusiyatangulize kwa kila kitu. Dini bila kuwa wewe kwanza si dini hyo. Hata usipoelewa unachofundishwa na dini yako kwa tabia za kibishi utakwenda jahanam tu. Tusome mawazo ya wenzetu, tuyatafakari alafu tujibu...
  2. M

    Lowassa, Sumaye na Ngeleja wahojiwa na Kamati ya Maadili, Membe adaiwa kukacha

    Nimejifunza kuwa tatizo la siasa za bongo halianzii kwa wanasiasa bali ni wananchi wenyewe kutokana na uwezo mdogo wa kuchambua mambo ambao umekuwa ni mtaji mkubwa wa wanasiasa mchwara. Tafuta pa kusimama(Hoja yenye mashiko), matusi na kejeli havijengi. Hii forum itusaidie kujenga uwezo wetu wa...
  3. M

    Marketing ladies required - Arusha

    Hii kazi ipo kwa watu wa Arusha tu, call either of the numbers provided upate maelekezo. Naondoka internet kwa sasa!
  4. M

    Marketing ladies required - Arusha

    Office : Afroweb Studios Arusha. Sifa: Awe msichana mwenye upeo mzuri katika masoko na uzoefu kwenye kazi hiyo au yenye mahusiano na hiyo. Awe mkazi wa Arusha mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiingereza. Certificate, Diploma na Degree in Marketing itakuwa sifa ya nyongeza ingawa...
  5. M

    NM-AIST shortlist

    Ya kazi Bantubrog,refer post yangu fresh!
  6. M

    NM-AIST shortlist

    Wadau Kwanza naomba radhi kwa kutokuwa na update yoyote kuhusu ajira za Nelson mandela Arusha mpaka sasa. Naomba kwa yeyote mwenye taarifa atudokeze!
  7. M

    Arumeru Mashariki ya CHADEMA

    For sure kama kinachoendelea Arumeru Mashariki hakitabadilika, Chadema wana jimbo.Nahofia tu fununu za ununuzi wa kadi za wapiga kura ambao wadau wanaozungumzia pia hawajanipa ushirikiano wa kutosha niweze kupata ushahidi. Kwa aliyeko karibu na eneo hili na mdadisi mzuri afanyie kazi hili!
  8. M

    Feedback za nelson mandela - arusha

    bado wako kwenye mchakato. Nimepata uhakiki leo jioni kwa mwanangu 1 aliyeko pande hizo,naye ni applicant
  9. M

    Regia Mtema is No More!

    It is true, kaondoka lakini katuachia mengi ya kumkumbuka nayo. Mwananchi la leo tarehe 15 January limeandika baadhi ya mambo ambayo alipanga kuyafanya kama mbunge na amefanikiwa kwa 70% kwa mujibu wake lilivyoaandika Mwananchi. Alikuwa kiongozi mwelewa,mwenye mipango makini na anayofuatilia...
Back
Top Bottom