Uzi umekaa kama swali ili kutoa mwanya mkubwa wa member kuujadili, kwa hiyo kama lipo unalolijua unaweza kujadili bila kumshambulia mleta mada kama huna kaa kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia inasema tutawaona kwa matendo yao lakini pia inatuambia tusihukumu kwa maana hatujui siri ya mioyo yao ili na sisi tusije tukahukumiwa. Kwa maana siku ya mwisho atavuna ngano na yale magugu yaliyopandwa na shetani yatatupwa kwenye tanuru la moto uwakao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaotaka kuingia Uganda bila kuwa na Yellow card fever pitieni Mutukula, pale hata usipokuwa na passport unapita tu ilimradi uwe na kitambulisho au unaweza kukata passport ya mda kwenye ofisi uhamiaji ya wilaya yako.
Unaweza kuweka pesa zako kwenye MPESA then ukifika uku unatoa kama kawaida...

Kama magufuri ana nia dhati ya kupambana na majambazi yaliyoko ndani ya ccm alirudishe mchakato wa katiba mpya la sivyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.