Search results

  1. K

    Nairobi hit top ten most dangerous cities in the world.

    smataa waambie hao wabongo,wamechelewa sana hawa wajamaa
  2. K

    Tanzania refuses to sign -then signs-proposal for EAC political federation

    East African countries have been challenged to remove obstacles to the timely formation of the planned federation, so as to enjoy the benefits of the expanded economic bloc. The call was made in Dar es Salaam yesterday at a conference of academicians and representatives from Tanzania, Kenya...
  3. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    nimejua kweli watz wajinga,mbona mwatetea sana ujinga,mimi nilitaka kujua kwa nini hamtupendi,wakenya wengi wakija tz wana coplein kuhusu tabia zenu,maendeleo ya east africa yataletwa na wote,acheni kufanya hivyo
  4. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    huyu ndio kanisaidia kukaa tz,mbona wenyewe waitaji manpower from kenya lakini wengine wakataa hiyo sio nzuri
  5. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    Al shabab can bully the Somalian people, but they can't bully the Kenyan people specially their military who the man power
  6. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u
  7. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    nyie mnatakiwa kujua america was built by immigrants,stop undermine kenyan,tutawasaidia sana nyie
  8. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    learn to give people chance to socialize
  9. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    najua hamtupendi but we are here to stay,mbona serikali yenu inatupenda,twafanya kazi twalipa tax,serikali yenu yawajua nyie wavivu sana
  10. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    wewe ndugu ngoja niseme,Zimbabwean na Kenyan ndio watu pekee wenye best skill sub saharan,hiyo ujue ndio maana mnalalamika lakini hiyo ndiyo kweli
  11. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    nyie ndugu watz mimi nashindwa kuwajua,kama elimu yangu ndogo mbona tumeingia interview na watz wenye degree lakini kazi wakanipa mimi?kama elimu yangu ndogo confidence yangu ni kubwa
  12. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    sasa nyie kama mnaona sisi twafanya kazi bila permit mbona hamtufukuzi?mnazidi kutaka sisi tulete ndugu zetu hapa kwa kuwa nyie hamtaki kazi,nyie mwapenda kukaa vibarazani na kucheza bao kila siku,kazi zinawashinda,sasa mimi nimeitwa kuja kufanya kazi tz na mshahara wangu utakuwa mkubwa...
  13. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    sasa wewe unataka kuandika nini?mimi sijaelewa/ndio maana tunasema uwezo wenu mdogo sana
  14. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    nyie watz inaonekana hamuwezi kufanya socialize na watu kutoka nchi zingine,mna aibu sana,halafu mnapenda sana kujiona nyie mko na roho nzuri,lakini umaskini wenu wa akili utawaletea umaskini sana
  15. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    hapo sijakuelewa,mbona wakenya wengi company zao zipo tanzania kama investors lakini kenya hakuna company za watanzania
  16. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu
  17. K

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction tupendane dunia imebadilika sana nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua...
Back
Top Bottom