Search results

  1. C

    CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    Mimi ni mwana CDM ila nimefurahi sana ANTHONY KOMU kushindwa.... nakula whisky tartiiiibu nikijipongeza kwa hili.:heh:
  2. C

    CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    Mimi ni mwana CDM ila nimefurahi sana ANTHONY KOMU kushindwa.... nakula whisky tartiiiibu nikijipongeza kwa hili.
  3. C

    Kura za wabunge inakuwaje zinaharibika?

    Mkuu hapo hamna haja ya kuuliza walioharibu LUSINDE hawezi kukosa...kudadaaaaadeeki
  4. C

    Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

    jamani Wassira ni moja kati ya wazee wapuuzi ambao hua sitilii maanani chochote wanachozungumza zaidi kuwaondoa wanangu sebuleni wasijeota ndoto mbaya kwa sababu ya msura wake. Ila pamoja na hayo litakua jambo jema kama Dr. Slaa akitolea ufafanuzi upuuzi huu wote uliosemwa juu yake. Ni sisi...
  5. C

    Lowassa atoboa siri ugonjwa wake

    Anajitutumua tu... Mbona habari za kuaminika kutoka vyanzo nyeti vya serikali vinasema jamaa afya yake mbovu. Politicians sio wakweli anajua akisema hali halisi atapoteza mashabiki na itakua advantage kwa opponents wake. Naskia pia kapoteza vision kabisa aseme ukweli tu ila najua hafiki 2015.
  6. C

    TBC mna bifu gani na CHADEMA?

    wanajamvi naitafuta ITV tangu saa moja na nusu siipati.... Kuna yoyote anipata? Kama kuna hitilafu yoyote naomba tujulishane wakuu.
  7. C

    Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

    Mkuu Kingkong nimekukubali inaonekana umeiva sana kwenye defensive skills after taking mlupo. Inabidi upewe muda wakati bunge likiendelea ukatoe hizi dondoo kwa wakulu manake milupo inakua ya kutosha Dom.
  8. C

    Rais Kikwete kuzungumza na wazee wa CCM Dar leo jioni!

    Jamani viongozi wetu waache kufanya vitu kwa mazoea. Nyerere wakati wa uongozi wake alikua anakutana na hawa wazee wa DSM na kwingineko coz most of them ndo wlikua freedom fighters na suppoers wake kwenye harakati za uhuru. Sasa naona haka kautamaduni kanaendelea mpaka sasahv kwa lengo la...
  9. C

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Acha unafiki... Unampa get well mwizi mashuhuri? Huyu tunapaswa kumwombea a die soon.
  10. C

    Madaktari chonde chonde

    ndugu yangu acha kuwadanganya madaktari.... Madocta gomeni mpaka kielewe(leaders have never been accountable for mistakes which emerges in their hands). Serikali yetu ina viongozi jeuri,wababe,wajivuni kana kwamba ni miungu flani. Njia pekee ni madocta wanayodemonstrate. Watanzania acheni woga...
  11. C

    Kafulila aifunika KIGOMA

    Mkuu bado unasoma gazeti la mtanzania katika zama hizi?
  12. C

    Dr Nchimbi apeta!!!!!

    Huyu jamaa ni moja kati ya viongozi ninaowachukia sana
  13. C

    Joseph Kusaga ateuliwa Mwenyekiti Kamati ya Kuongoza kamati ya Kupendekeza vazi la Taifa

    Hata kama umuhimu wa vazi la kitaifa ungekuwepo si Joseph anaepaswa kuiongoza hiyo kamati.Joyce is smarter, clean and hardworker more than him.Si hivo tu bali ninaamini kuna watu wengi sana ambao wana uelewa mkubwa katika mambo haya...... Kusaga tayari ana kashfa za wizi wa kazi za wasanii ati...
Back
Top Bottom