Search results

  1. N

    Mabenki na mikopo ya biashara kwa wahitimu

    Aiseee ni mawazo mazuri sana Mkuu..!! Nafikiri wakianzisha hiyo program banks nyingi zitaongeza portfolio na wakopaji watakuwa makini sana kwa sababu kiukweli ACADEMIC CERTIFICATES ndo maisha ya msomi so I believe graduate hatakuwa tayari kupoteza vyeti vyake kirahisi as a result atakuwa more...
  2. N

    Biashara ya madini dhahabu huko rukwa!!

    Poa Mdau nashukuru kwa ushauri wako!! Pamoja sana!!
  3. N

    Biashara ya madini dhahabu huko rukwa!!

    Wadau samahani naomba mnijuze kwa wenye ufahamu? Katika Mkoa wa Rukwa kuna machimbo madogo ya dhahabu na nasikia biashara ya dhahabu inalipa huko? Je mtaji inaweza ikawa kiasi gani na soko lake likoje????
  4. N

    Msaada wakuu: Certified copies of academic certificates

    Its better ukaenda mahakama ya mwanzo au hata ya wilaya uliyo karibu nayo!! Kawaida gharama yake kwa kila cheti ni TSH 1500/= na unatakiwa upewe receit!! Lakini sasa kwa kuwa watu hatujui unakuta ukienda pale wanakupiga cha juu!! FANYA HIVYO KAKA!! Hata cheti cha Computer nacho ni part of...
  5. N

    African barrick gold kwa yeyote mwenye update nafasi ya cctv operator???

    Wadau naomba kuuliza, tuliitwa kwenye Interview na hawa jamaa wa ABG kwa nafasi ya CCTV OPERATOR tarehe 26/04/2012, wakasema watatujulisha?? So nauliza kwa yeyote ambaye amepewa feedback????
  6. N

    Any update kwa waliofanya interview NSSF?

    Poa Wadau nimewasoma!!
  7. N

    Any update kwa waliofanya interview NSSF?

    Ahsante kwa Taarifa!! Be blessed!!
  8. N

    Any update kwa waliofanya interview NSSF?

    Wadau naomba kuuliza kwa mtu yeyote aliyefanya Interview NSSF!! Waliwaita watu wote ambao walikuwa wanawahitaji kwa second Interview au bado wataita tena??
  9. N

    sumatra!

    Hata mimi pia nasikilizia kengele ipigwe!!
  10. N

    Oral interview nssf

    Acha kuwa na mawazo Mgando wewe!! Usiwe na akili za kushikiwa!! kwani pale wameambiwa waaply akina Juma, Mwinyi, Issa, Abdallah, Amina, Ramadhan, Abdulrahman na Zainabu?? Kwa hiyo pale akina John, Mathew, Esther, Hellen hawapo?????? Unavyoongea jaribu kuwa na full data sio unaropoka ropoka tuu...
  11. N

    Oral interview nssf

    Bado hawajaita Kaka!! Endelea kuvuta subira huku ukiapply na sehemu nyingine!!
  12. N

    Oral interview nssf

    Watu wana uelewa finyu Brother!! Tumshukuru M/Mungu tuu watanzania tunakaa pamoja mkristo na muislam wanapiga story, wanakaa nyumba moja bila kuhitilafiana tofauti na Nchi nyingine Kaka!! Hata mimi Brother huwa nashindwa kuelewa, kama mtu ni Muislam anafanya kazi zake vizuri, anashirikiana...
  13. N

    Bora kufanya kazi kwenye kampuni ndogo inayolipa vizuri kuliko kampuni kubwa inayolipa vibaya

    Kwenye kazi siku zote unaangalia maslahi Kaka pamoja na job security!! Sio unafanya kazi kwenye kampuni kubwa, wakubwa wanatoka matumbo wewe unakonda!! Hayo yatakuwa sio maisha!!
  14. N

    Wana jf naombeni ushauri please!!

    Angalia maslahi Kaka!! Nenda kaanza maisha huko wakati unapata experience then later on utajiunga na serikali!! Na advantage ya chuo pia wanaweza wakakusomesha ndo huwaga program zao hizo!! KAPIGE KAZI KAKA!!
  15. N

    siri ya jinsi ya kujiajiri!!!

    Kaka weka mambo hadharani basi so that every one can understand well!! Hiyo program huwa inakuwa siku gani na saa ngapi?? Yapi yanayozungumzwa!! Na unaposema BENJAMIN MKAPA TOWER ni kubwa!! Ghorofa ya ngapi na uulizie unaenda wapi???? BAELEZEEE VIZURI BROTHER!!
  16. N

    standardcharted bank

    Poa Mdau nimekusoma!! Thanks for the good news!!
  17. N

    Aptitude test ya NSSF kesho (31/12/2011) yavuja na kusambaa mitaani:

    Mambo mengine wewe yapotezee tu na huenda watu wakawa wanazusha tuu na isiwe kama ulivyosikia!! Mimi mbona nImeenda kufanya leo na sijasikia hiyo habari ya DESA. "KAMA IPO IPO TU" hata wafanye vipi ukiona hujapata basi ujue si ridhiki yako!!
  18. N

    Kilichofanywa na NHIF si Uungwana

    This is Absolutely not fair!! Watu wamepoteza muda wao wakisikilizia huenda wanaweza kuitwa but bila mafanikio!!!
Back
Top Bottom