Search results

  1. tutafikatu

    Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Mnapenda sana kujifariji. Utajiri ipi huo?
  2. tutafikatu

    Mambo gani muhimu ya kuzingatia katika ujenzi wa Hoteli kubwa ya nyota Tano( FiveStars Hotel)?

    Yaani mtu unataka kujenga nyota 5 halafu hujui pa kuanzia. Mko serious kweli? Huyo jamaa anajua maana ya nyota kwenye hotel? Labda tuanzie hapo.
  3. tutafikatu

    Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

    Wadogo wameenda kunywea pombe
  4. tutafikatu

    Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Hawa wandugu wangeusitiri uchi wao ila ndio hivyo, hawana akili. Bora wangeendelea kuwa pirates.
  5. tutafikatu

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Una bahati mbaya, uko upande dhaifu. Ni kama Kushabikia Madrid vs Lipuli.
  6. tutafikatu

    Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

    Issue yako iko Gaza, huko kwingine unakutaja ili uonekane uko neutral. Ukianzisha vita, umalize mwenyewe.
  7. tutafikatu

    Orodha ya clabu tajiri zenye dhamani kubwa zaidi Africa

    Huo utajiri ni wa kitu gani hasa? Wachezaji, assets au?
  8. tutafikatu

    Gazeti la Uingereza: Israel imepotea njia

    Mtakusanya sana magazeti
  9. tutafikatu

    Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu?

    Kwa hiyo hao Wapalestina kupambana kwao kumewafanya kuwa matajiri?
  10. tutafikatu

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Nigeria ndio wana majumba mazuri? Kweli unakuwa kile unachoangalia.
Back
Top Bottom