Tangu mwanzo wa kesi ungeweka mwanasheria wa kukusimamia lakini pia sio shida, document ya hivyo vitu si unazo na zinaonesha tarehe kwamba ulinunua lini, assets zote zenye majina na tarehe kabala ya ndoa yako sidhani kama zinamuhusu
Niliomba kazi mwaka jana, nikaambiwa na mtu wa procurement nitoe Million 5 ili niweze kupewa kazi ya ukandarasi. Nikamwambia tuandikishane nikipata kazi tu nikupe million 5 yako[emoji3][emoji3]akakataa. Nikaomba tu wala sikupata kazi yenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.