Search results

  1. M

    Jina lenye sifa mbaya Tanzania

    Atakua chadema tu huyu
  2. M

    Je unakumbuka nini miaka ya 80’s na 90’s.

    Mm nakumbuka lile tangazo la Topaz la baba kchonge na mama kichonge. Mida ile ndo napka chai niende skonga. Utoto ule ulikua raha sna, kwa kua hapakua na tv so mda mwng tulitumia kucheza kmama mama na kbaba. Hahahaa halaf mnajfunika kanga baba na mama, watoto wanaenda kuokota kuni.
  3. M

    Kitu cha UDOM..

    Watajskia sawa 2 kwan unafkr hawajui kwamba UDOM ni sawa na shule ya kata. Hadi ma lecturer wnywe wanaponda utaratbu wa course zlivyomegwa megwa. Kwa mfano utakuta UDSM kuna course inaitwa Political science and public administration. Ambapo ndan yake kuna Vpengle vngi km democracy and election...
  4. M

    Kitu cha UDOM..

    UDOM si chuo cha kata ndio maana.
  5. M

    wadau tutangaze mali zetu!!

    Yaan kaka umenichekesha mpaka tumbo linaniuma. Nimeipenda sna hi.
  6. M

    Slogans za ku-edit

    Hakunaga jitu jinga km ww na chadema yako
  7. M

    Daladala bongo (my true story)

    huyo sista du atakuwa amesoma udsm. Tena alikua anakaa mabibo amezoea kugombania shato za kwenda kampasi
  8. M

    Mtoto huyu nae!

    Huyo dogo kapinda kweli
  9. M

    Sup

    Inakuaje mtu unasapuka? Mmi sijawahi kusapuka hata mara moja mpaka nimemaliza pale UD!
  10. M

    So funny

    Dogo ananikumbusha miaka ya 1994 wakati nipo shule ya msingi. Zilikua ndio zetu hizo na marafiki zangu. Tukitoka shule tunapita kila nyumba yenye kengele. Tunagonga kengele halafu wenyewe wakija tunakimbia.
  11. M

    cHeKA kiDoGo tuuu, inatosha sana

    Duu hatari, umenifanya na mm niwe makini na mtu wangu. Sitaki kuusemea moyo wake!
  12. M

    Slogans za ku-edit

    hakunaga chama cha fujo kama chadema!
  13. M

    fumanizi

    dawa ya moto ni moto. Ningefurahi zaidi na nikajivinjari kwa amani na wangu!
  14. M

    Unajimu mwaka 2012

    Niambie na mm nyota yangu Mbuzi
  15. M

    ....................Utaoa nani?

    Wewe c ulipata mpare wa "Hii haa" (Kichina - Feki) ndiyo maana!
  16. M

    Kazama alikuwa anaogelea kutoka Kigamboni!

    Daah, wana JF mnanipa raha sana. Hizi thread za PERA na Nq'wankiduku mm nacheka sana. Na hvo sijapata mshahara full kurefresh!
  17. M

    Bi Kidude ndani ya 'Pool'

    Dogo umeboronga. Hiyo ni kama Kashfa! Hapa wala hukua na nia ya utani nia yako ni kutueleza jnsi unavyomfananisha bi kidude. Kumbe wewe ni Hovyoooooooooooooo!
  18. M

    ....................Utaoa nani?

    SIJAONA WA KUOA HAPO. NAONGEZA KABILA LANGU LA KUOA Mpare>> Anajua bajeti
  19. M

    Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

    CHADEMA UTAWAJUA TU KWA JAZBA. Kwanza CHADEMA OVYO, CCM OVYO, NCCR NDIO UPUUZI KABISA. Halafu wewe utakuwa CHADEMA maana bila kutukana na jazba kibao hamuoni raha. Mind your life achana na mambo ya siasa. Wewe unaonekana ungekuwa IGUNGA ungeshakufa kwa kujidai unajitoa muhanga wakati mgombea...
Back
Top Bottom