Search results

  1. M

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Tafadhari sana heshima kwa viongozi wetu wa kanisa ichukue mkondo wake. Acha uongo wewe sio mkatoliki wakotoliki atuna desturi ya kuwadhalilisha viongozi wetu kwenye mitandao na kama kweli wewe ni mkatoliki auelewi dogma za kanisa katoliki---wakatoliki tunaheshimu mamlaka zilizowekwa na Mungu...
  2. M

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu

    Jamani kila analofanya rais mnapinga tu lol! Hata angeteua malaika mgesema tu jamani mpeni muda rais afanye kazi bwana! ili Tanzania isonge mbele atuhitaji kuchanganya siasa na uwajibikaji na hii tabia ya "ku-politicize"kila kitu ndio imeifikisha nchi hapa kwasasa tunahitaji rais mtendaji sio...
  3. M

    Jiondoe kwenye adha ya kupaka rangi kila mara kwa kutumia materials hizi

    Huyu jamaa kuweni nae makini maana si mtaalamu mzuri wa rangi anapiga picha na kujifanya ni kazi zake maana kuna jengo aliliweka hapo wakati kazi ilikua ya fundi mwingine
  4. M

    Msaada dawa ya mende

    Jamani mwenyekufahamu dawa ya mende naomba anijuilishe. Asanteni
  5. M

    WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    [tabia yenu ya kutoa nyuma ili mpate kazi itawaponza ndugu zetu wakenya. Wekeni utu mbele sio kila kitokacho ulaya ni kizuri]
  6. M

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Mpe rais wetu heshima yake bwana mambo ya kumuita rais wetu kilaza sio heshima. Big up JK watu watakukumbuka sana ukitoka madarakani. Go go JK gooo............
  7. M

    Hivi tunajua maana ya kusalimiana au tunafanya mazoea?

    Mimi binafsi si ipendi kabisa shikamoo. Unakuta mtu kakuzidi sana anakupa shikamoo eti kisa una pesa..Kama sio utumwa wa fikra ni nini?
  8. M

    Mabinti wa kinyiramba

    Jitahidi uwe mzuri kwenye sita kwa sita la sivyo, viserengeti kama vitatu hivi vitakusaidia kazi. Mabinti wa kinyiramba wanajua kupenda haswa endapo unajua mambo yetu. kama mvivu kwenye sita kwa sita hesabu maumivu.
  9. M

    I Miss Sex!!

    Lizzy na klorokwin combination nzuri. Msisahau kunipa kadi siku yenu ya harusi.
  10. M

    Vinega wawaogopa Clouds Fm!!clouds Inatisha yoo!!

    Punguza munkali kijana, habari ndio hiyo!
  11. M

    msaada fundi mzuri wa simu

    Simu yangu ni N95 yenye 8GB inatatizo la camera.
  12. M

    msaada fundi mzuri wa simu

    wana JF mwenye contact za fundi mzuri wa simu please help.
Back
Top Bottom