Search results

  1. C

    Kagasheki ajenga mazingira ya Rushwa Misitu

    Yaani anakera kweli kweli huyu mtu!! ni mtu wa urasimu wa rushwa na urasimu mkubwa. Walala hoi wataweza wapi mnada?? mtu mmoja anataka kubadilisha mfumo mzima kwa manufaa yake?? Tuseme inatosha sasa.
  2. C

    Kagasheki ajenga mazingira ya Rushwa Misitu

    Waziri Kagasheki kwa mara nyingine ameendelea kuonyesha ni jinsi gani asivyomudu wadhufa aliokabidhiwa baada ya kukalia vibali vya kuvuna misitu vilivyotakiwa kuwa vimeshatolewa na misitu kuwa inavunwa muda huu. Hapa wizarani kila mtu ameshangazwa na hali hii kiasi cha watu kumkumbuka Maige...
  3. C

    MWIGULU:umetuletea wapiga nondo Mbeya

    MODS fungieni watu wa jinsi hii wanaolikosea heshima jukwaa
  4. C

    Ally bananga ndani ya manyoni

    hakuna mtu anayemjua huyo! Anatafuta umaarufu kwa nguvu. What a waste!
  5. C

    Heko Dr. Kitila Mkumbo kwa kazi ya siasa jimboni Iramba Magharibi

    Haya sasa ni mahaba ya kupitiliza, unaanzisha uzi kumpongeza mtu kwa kuwasalimia watu Iguguno? This is absolutely ----! Kwanza Iguguno haioko Iramba Magharibi bali iko mashariki. Acheni kujifagilia mambo yasiyo na msingi. Furthermore, huyu Kitila kama ni kupendwa JF, kweli. lakini kule Iramba...
  6. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    huyo MALAFYALE ni mchumia tumbo wa Slaa, so unategemea jibu gani Bro? mbona jibu umelitaja hapo juu. Mpotezee huyu mkulima Malafyale bana!
  7. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Unawatukana wenzako kwa kutofautiana mtazamo na wewe? Sasa nani punguani hapo kati yako na yeye? wee kweli UJENGELELE
  8. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    au mwananchi na tanzania daima
  9. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    kumbe ana mimba?? duh
  10. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    wivu wa kiume ni upi. Punguza povu leta hoja tu
  11. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Bravo Ritz! mpe ukweli huyo
  12. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    watu wa ajabu kabisa
  13. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Hilo utatueleza wewe. Ubadhirifu ni ubadhirifu tu haijalishi katiba inasema nini. Yaani mtu aibe halafu useme katiba inaruhusu. Hakunaga bana! tumeshashtuka sasa yawezekana kweli huu ni mradi wa watu
  14. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Mkuu polepole. Kwani ni hawara au mchumba?
  15. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Una uhakika?? uhakika gani?? Acha kupotosha umma wewe kila siku. Leo hutupati. Toa basi huo ushahidi au uhakika kwamba si pesa za chama. Na je unabisha kwamba Dr. Slaa hakujikopesha milioni 140? Toa ushahidi. Explain yourself!
  16. C

    Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    And what's your point here? The issue on the table is Dr. Slaa's fiancee misusing party funds.
  17. C

    Mwigulu Nchemba hawatendei haki wapiga kura wake

    Martyr: You have a point!! I do not see anything special on this Kitila guy,, hakuna kitu pale ni huo udokta tu. Kuna watu makini sana Iramba ambao hata hawajitutumui, na wanairamba wanawajua vizuri sana. Wee utaona tu aibu atakayopata huyu Kitila akijaribu. Mark my words, nawajua wanyiramba.
  18. C

    Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

    Mkuu una post saa 5 halafu unajichanganya eti sasa ni sa 7!! Huwa huoni aibu? huna elimu kabisa maana hata uongo unahitaji elimu
  19. C

    Mwigulu aendelea kufunika Igunga

    ngoma ya kitoto hiyo haikeshi. wanaota ndoto za mchana mchana hawa
  20. C

    Madudu ya Mama Abdallah

    hilo nalo neno!!!!!
Back
Top Bottom