Search results

  1. L

    Nape Nnauye

    Hata juhudi za mtu zinapingwa tanzania kufika katika mafanikio tutachukua muda mrefu sana kwani mafanikio yanahitaji maendeleo ya watu katika fikra zao kuwa huru,kwa jamii hii inayo hoji na kudharau mafanikio ya Nape ni dalili tosha tumeshindwa kuzalisha watanzania wenye kuthamini juhudi na...
  2. L

    Mh. Hamad Rashid LIVE on Star TV

    Swali la chipaka la kujua msimamo wa chadema ktk mchakato wa katiba ni mada tosha ambayo ya kujadiliwa ni kweli hawakutoa walitoka nje,yahaya ifanyie kazi hiyo
  3. L

    Mh. Hamad Rashid LIVE on Star TV

    Namshauri Hamad rashid kutaka nafasi ya uongozi ndani ya chama jaribu kuepuka marumbano na viongozi wengine ambao wanaonekana kama wanatumwa na viongozi wa juu mimi naona haya ya kwako ni kama ya LOWASA,chama kweli kina hitaji utendaji wa bara na visiwani
  4. L

    Mbowe,mrema,mbatia na maalim seif wanasumbuliwa na ulevi wa madaraka.

    Sijui zito angekuwepo kwenye JF angetusaidia utata huu ambao wakati mwingine unaonekana kuwatafuna wanasiasa wengi wanaonyesha nia ya kugombea nafasi yoyote ya ndani ya chama na wakati mwingine hata ya mwenyekiti wa mtaa,kitongoji,kijiji,udiwani,ubunge, na hasa urais haya yapo.lakini kibaya...
  5. L

    Nimewaona leo LIVE

    Kila goti litapigwa.uki jua ya mwenzako ujue ya kwako yatajulikana tu.mimi nadhani ndugu zangu wa JF tungekuwa tunavumiliana kwa hoja zinazotolewa humu,mi naiman kama JF ikitumika vizuri itakuwa sehemu nzuri ya kujenga bongo zetu kwa kupata habari zenye mchujo wa hali ya juu,lakini pia kujua...
  6. L

    Rais Kikwete akubaliana na kauli ya Lowassa kuhusu tatizo la ajira kwa vijana!

    Eee jamani wana jf sifa yenu ni kuwa mna fikra nzuri za kuchambua hoja na kuchangia.Lowasa kama katuma watu humu wa kumpamba basi tukubaliane kitu kimoja hata hao wanaomkashifu LOWASA nao wametumwa hapo tutaelewana.lakini kujinasibu nyinyi ni wajuzi wa kuona mabaya ya wenzunu huo si umahiri wa...
  7. L

    Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta!

    Ni vigumu kukuelewa una maana gani,Hamd Rashid unamshangaa kwa kauli yake,Hapo hapo unashukuru,Lakini kibaya zaidi unatumia kauli ya ubaguzi ya WAPEMBA GANI WAMETETEA KURUDI KWA TANGANYIKA kwa kauli yako unaonyesha unadata za kupachikwa kama flash katika cpu,MOJA YA SERA YA CUF NI SERIKALI TATU...
  8. L

    Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta!

    JULIUS uongozi ni dhima na dhamana kubwa kwa wanachama wa chama chenu waliokupa wewe na ukakubali,kumbuka siku uliyo kubali ulikubali mambo mengi ya uongo na ya kweli yawe yako,sasa changamoto uliyo nayo ni kuonyesha kwa vitendo ya kuwa hili ni pumba na hili ni mchele,utakapo toa kauli yoyote ya...
  9. L

    Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta!

    Kumuhukumu Lipumba kuwa si mwanasiasa mwenye lengo la kuleta mabadiliko katika nchi yetu mtazamo huu si sahihi.Lipumba ni mwanasiasa mwenye heshima na karisma ya uongozi ulitukuka.ni ushahidi mwingi juu yake.lakini ngoja nikufungue bongo lako juu ya lipumba umuelewe.ndiye aliyekichukua chama na...
  10. L

    Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta!

    Jaman kujenga chama imara ni kazi kuliko kujenga mji wa dar yenye magorofa 100 katika kila eneo. Chama ni fikra za watu zinazo kubaliana au kutokukubaliana kwa jambo lilipo mbele yao.na kanuni ya kukubaliana huwa ni hii.ukiona watu wawili wanakubaliana ktk kila jambo basi ujue mmoja wapo ni...
  11. L

    Nampenda sana Mwita25

    Nyie mustakabali wetu nini? Mbona marumbano yamezi hoja za mantiki tuweke huru akili zetu ili tujadili,na tufikie kukubaliana au kutokukubaliana kwa hoja za msingi.ahsante nadhan mmelewa
  12. L

    Ushauri wangu kwa Lowassa

    Hata nyie mnaolipwa kwa ajili ya kumchafua mnamatatizo makubwa.mtuhumiwa gani aliyekwenda mahakamani akajishitaki ebu nenda kafungue kesi dhidi yake si una ushahidi kuwa yeye ni fisadi takuja kujibu tuhuma.Tatizo kubwa la watanzania liko hapa kuamini kila kitu wanasikia kutoka kwa yoyote na...
  13. L

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    KISIASA !? Hajavaa sanda labda urudi ktk hoja ya msingi tuwe wote pamoja.wewe kujua tu amevaa sanda kisiasi ni ushahidi tosha yuko juu kwa mtazamo wako labda uniambie hujui tunamuongelea lowasa gani?ah kama umuelewe ni lowasa gani tunakuomba uvumilie kidogo hadi umjue.kama utafanikiwa kumuelewa...
  14. L

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Bado unayo nafasi ya kutoa maoni yako yatakayo kuwa na taswira ya hali halisi ya vile unavyo jua juu ya udhaifu na uwezo wa LOWASA kwa kuzingatia vigezo vilivyopo ktk hoja ya msingi unaweza kuendelea ,jiepushe na kulalamikia mtazamo wa mwingine mpe tiba atakuelewa usimpe nafasi akakutafsi ni...
  15. L

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Hata zamani nilikuwa na mtazamo huo.lakini utakunisaidia kwa Rais wetu mstaafu ALLI HASSAN MWINYI alijiuzuru wakati ni waziri wa mambo ya ndani wa jamuhuri ya muungano ya tanzania alikuwa amefanya madudu gani?na madudu yake yalikuwaje yakamfanya awe rais wetu?ebu jaribu kutaja uwezo wake na...
  16. L

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    mzee wangu jenga hoja ya mantiki ubatizo unautukufu wake ktk iman ya kidini kama wewe utautumia ktk kuonyesha ni kitendo cha kumteka mtu kilaghai utakuwa umegusa hisia za waumini wa iman ya ubatizo.unajua LOWASA NIMEMKUBALI baada ya kuwa na ugonjwa wa aina uliyokuwa nayo hivi sasa.tiba niliyo...
  17. L

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Ah utapeli wake mpaka umeujua wewe sawa.cha muhimu tiba ya fikra nimeiweka mbele ichangiwe kwa hoja za mantiki matusi,na tuhuma si suruhisho ya kutaka wenye kutumia akili zao vyema wakubali tuhuma na matusi yenu kuwa ni ustaarabu wa kujenga hoja makini. mkiondoeni jazba mtapata faida ya utamu...
  18. L

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    hayo ni matokeo ya jinsi ulivyo na kila mwana jf atajua uwezo wako wa kujitabua.tuendelee na kuchangia na kumsaidia mwenzetu tuwe pamoja ktk kuweka huru fikra zetu.ahsante
  19. L

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Hello nathubu, nitaweza na kuendelea kuamini lowasa anastahili urais 2015.kwanza naamini ktk jf kuna watu wenye kuweza kutafakari hoja inayokuja ktk hali halisi na vinginevyo,natahadharisha wale wenye hoja zinazotawaliwa zaidi na hisia,itikadi,ushabiki,chuki,msimamo butu,na utegemezi wa...
Back
Top Bottom