Search results

  1. Askari wa miguu

    Nikifa mwili wangu utupwe mbugani simba na fisi wapate kitoweo

    Nyama zenyewe unazo!? una uhakika Simba atashiba?
  2. Askari wa miguu

    Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

    Hatuombei kwa jina la Yesu, ila tumswalie Mtume SAW au sio maalim[emoji23]!?
  3. Askari wa miguu

    Hirizi ni mzigo mzito sana

    Power bank 😄😄
  4. Askari wa miguu

    Mara: Askari watano JKT washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    Kiki hizo, yn achana na hyo avatar yko ila just by reading between the lines kwny uandishi wako unaonekana fala 🤔
  5. Askari wa miguu

    DAWASA na ubambikiaji wa bili za maji

    Aisee now i see the light... kila mwezi nalipa 30K na nakaa mwenyewe nyumbani na weekdayz nipo kazini!! Mpka nikajiuliza labda kuna mtu ana kiwanda halaf bomba kaconnect kwangu
  6. Askari wa miguu

    Nauza laptop Dell Inspiron N4030

    haina tatzo lolote mkuu
  7. Askari wa miguu

    Niuzie laptop

    Dell, HP, Toshiba au Lenovo na Samsung used iwe katikati hali nzuri. Bei isizidi 350K.
  8. Askari wa miguu

    Achilli will kill his father and marry his mother

    That is not history! itz called mythology (Greek mythology)...anyway itz interesting
  9. Askari wa miguu

    Ngoja nijaribu kufungua dimba la majina ya Koo mbalimbali nchini Tanzania

    waluguru- Kobero Mkude Kassongo Kwembe Mizambwa Luanda Msimbe Lukoo Banzi Bwakila Mkoba Nyawale Josungu Nyagongo Magali Mluge Berege Kunambi
  10. Askari wa miguu

    Used HP laptop 8440P na Blackberry torch 9800 zinauzwa bei chee

    hyo bb ina tatizo lolote????? Vpi battery life?
  11. Askari wa miguu

    HTC one au desire inahitajika

    slightly used, budget 180000
  12. Askari wa miguu

    Viwanja kwa bei nafuu Morogoro

    vya kilakala bado vipo? Bei zake vipi?
  13. Askari wa miguu

    Graduate kujiunga na JKT

    itabidi utumie cheti cha form 6 kama ni usaili wa wilayani huna way out yaani jisahaulishe kabisa kama una bachelor labda mpaka baadae kwenye kuandikisha particulars baada ya kuripoti kwenye kambi za mafunzo. Ila kama una mtu JKT mwenye uwezo wa kukupa fomu ya JKT then huna haja ya kupitia hizo...
  14. Askari wa miguu

    Kukatika umeme hovyo hovyo Tanesco kuna agenda gani?

    Wadau mimi nashindwa kuelewa! Huku kwetu maeneo ya Tegeta, Mbezi Beach, Makongo mpaka kupandisha huku juu Mbweni hadi Boko Bunju umeme unakatika kila siku kwa takribani masaa zaidi ya 7, tujuzane jamani mliopo maeneo mengine ya Dar hali ni kama hii au ni huku kwetu tu!?
  15. Askari wa miguu

    Matapeli wa ajira na Scam Jobs

    jaman tupo pabaya sana
  16. Askari wa miguu

    Kambi Gani ya JKT Inamafunzo Magumu?

    kabisa kiongozi na mara ya mwisho nilipotembelea mgambo niliacha shamba la kwa msanga linaongezwa ekari kama 4000 mpya yan ndio walikuwa wanakata miti na kuondoa visiki kwahyo hawa vijana wanaoenda intake hii hilo shamba litawahusu sana, mgambo mpaka imeongoza uzalishaji wa mahindi kwa vikosi...
  17. Askari wa miguu

    Kambi Gani ya JKT Inamafunzo Magumu?

    kambi active za mafunzo ya jkt kwa sasa ni ...Kanembwa, Bulomborwa (zote Kigoma), Mgambo na Maramba (zote Tanga), Ruvu (Pwani), Msange (Tabora), Rwamkoma(Musoma), pamoja na Mlale(Songea). Hatuwez kusema kambi ipi ina ugumu au urahisi kimafunzo maana hilo suala linategemeana na wakufunzi ambao...
Back
Top Bottom