Search results

  1. Yusuphamos

    Ugomvi wa P-Square unamvyomnufaisha Diamond Platnumz

    Hongera ni fulsa pia.
  2. Yusuphamos

    Msimamo wa Nape Moses Nnauye wanifanya nimchukie Magufuli

    Mi binafsi sijawahi kutegemea kitu kipya toka kwa nape na kama kuna kosa kubwa magufulo amefanya ni kulipa hisani kwa nape kwa kumpa uwaziri huyu jamaa ana uwezo mdogo sana kiuongozi,kufikiri kama kiongozi,hata uwezo wa kawaida tu nape ataharibu sifa ya magufuli kama siyo leo within this two years.
  3. Yusuphamos

    Kwa ninavyowafahamu CCM, CHADEMA chukueni tahadhari hii

    ccm hawana jipya tena.
  4. Yusuphamos

    Vipi kuhusu Jairo, Mbona kimya?

    chezea serikali ya jakaya wewe ii serikali noma kwani we umesahau ishu ya jakaya mara babu wa loriondo ishu ya nishati sasa posho za wabunge ishu ya gamba lf ishu ya hamad nb seid watanzania tuna sahau inapita iyo ikija ishu kubwa inatafutwa nyingine ya kupunguza malali mpaka tunasahau.
  5. Yusuphamos

    Vipi kuhusu Jairo, Mbona kimya?

    chezea serikali ya jakaya wewe ii serikali noma kwani we umesahau ishu ya jakaya mara babu wa loriondo ishu ya nishati sasa posho za wabunge ishu ya gamba lf ishu ya hamad nb seid watanzania tuna sahau inapita iyo.
  6. Yusuphamos

    Basi la green star lapata ajali

    poleni majeruhi mungu aendelee kuwalinda.
  7. Yusuphamos

    Utajiri unaotolewa na Mwakipande

    asilimia themanini ya matajiri mikoa ya nyanda za kusini wanatumia uchawi.
Back
Top Bottom