Search results

  1. A

    Tigo pesa na mpesa

    Mkuu mi nnayo ya M PESA na AIRTEL MONEY bei ni 500 000 kwa kila moja tu..sababu za kuuza ni kama za huyo jamaa..niko dar ncheki kwenye namba hii 0657714397
  2. A

    HTC ONE S inauzwa...

    Mkuu nimejaribu kuweka picha lakini nimeshindwa kutokana na kwamba si mzoefu sana na kuposti picha humu...ila unaweza ni cheki whatsapp au viber kwa namba nliyo iweka hapo juu then nkakutumia picha...
  3. A

    HTC ONE S inauzwa...

    Nipo Dar mkuu kama unaweza nicheki na namba hii 0657714397.
  4. A

    HTC ONE S inauzwa...

    Bei ni 400,000
  5. A

    HTC ONE S inauzwa...

    GENERAL 2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 2100 HSDPA 850 / 1700 / 1900 / 2100 - for T-Mobile SIMMicro-SIM Announced2012, February StatusAvailable. Released 2012, April BODY Dimensions130.9 x 65 x 7.8 mm (5.15 x 2.56 x 0.31 in) Weight119.5 g (4.20 oz) DISPLAY...
  6. A

    Kwa hili la Mtwara, CCM imenifariji...!

    mkuu hzo ni mbwe mbwe tu za kutaka kura zetu 2015..ila waambie hatudanganyiki.
  7. A

    Tanzania iko mbioni kujiingiza vita vya DRC

    Ya malawi yamemshinda itakua kongo!
  8. A

    Center for New Technologies

    Hivi yule m'TZ aliyekua anatengeneza helikopta ameishia wapi ??
  9. A

    Movie na series unazozipenda

    Athena the goddes of war,merlin,legend of the seeker&underworld.
  10. A

    For JamiiForums Mobile users

    Kuweka picha sijaelewa nileweshen vizuri plzz!
  11. A

    aa

  12. A

    huu ndo upendo wa kweli?

    Angalia mbele mkuu usi rudi nyuma!
  13. A

    Usijaribu hii, ni hatari sana !!

    Duhh mchina noma anatengeneza hadi mamba feki!!
  14. A

    Mfumo jike

    Subutuuu!!
  15. A

    Dada Huyu anatafuta Kazi za Ndani....teh teh teh

    Mtoto mboga 8 kabisa huyo atawezea wap kaz ndani!
  16. A

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    Mhhh!!nawashaur uzeni malizenu zote mje mnipe mimi ama kwa hakika mtaingia peponi siku hiyo!!
  17. A

    Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

    Mbona babu yangu mjumbe wa nyumba kumi na anavuta mpunga wa maana tu..
  18. A

    Ogopen wake za watu jamani loh@

    teh teh teh mke wa mtu "super glue" chonde chonde jaman!!
  19. A

    Huyu Demu Sijui Yanga ama ninii?

    Mungu wangu!!!yan lazima mwakani msimbazi tumsajili hyu kwa dau lolote lile...
  20. A

    HATARI: Kuna watu wanatumia URANIUM kwenye MAZAO YA CHAKULA

    Ngoja tuliundie tume hili swala...
Back
Top Bottom