Search results

  1. Babarita

    Nahitaji kufanya biashara ya kuuza sukari kwa ujumla

    Hapo mbona hesabu inagoma tani 10 ni sawa na kilo elfu kumi na mtaani kilo tunanunua elfu tatu sasa 10,000x3,000 ni milioni 30.Labda kama alimaanisha tani 100.
  2. Babarita

    Nahitaji kufanya biashara ya kuuza sukari kwa ujumla

    Mkuu tani 10 kwa 230M sidhani kama ni sahihi,maana tani 10 ni sawa na kilo 10000 ambapo kwa mtaani bei ya rejareja kilo inakadiriwa inauzwa 3000/= ambayo kwa hizo tani 10 ni sawa na 30M.
  3. Babarita

    Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

    Kwa uelewa wangu estimations ya kufanya hivyo haizidi 1.5M kwa taa moja
  4. Babarita

    Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    Hao wayahudi walikuwa kwenye mji wao Jerusalem ya mashariki ambao ulikuwa umezungukwa na ukuta mkubwa.(Old Jerusalem).Kifupi huo mji ulijengwa zaidi ya miaka 3500 iliyopita ambapo mwaka 1000BC mfalme wa wayahudi wakati huu Mfalme Daudi aliutwaa na kuufanya mji mkuu wa wayahudi,Mrithi wake mwanae...
  5. Babarita

    Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    Ukisoma historia vizuri bila kuegemea kwenye dini utaelewa.Naomba nikupe muhtasari kidogo,kihistoria hao wapalestina wametokana na jamii ya wafilisti waliohamia maeneo hayo karne ya 12BC ambapo utawala wao ulikuja kutawaliwa na waassryia,ikafuatia tawala nyingine nyingi zikiwemo...
  6. Babarita

    Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    Historia yao naijua vizuri na nimeisoma kwa pande zote,Ukirudi kwenye historia ni lazima imani za kidini ndio zihusike,kwa hivyo nikiangalia kwenye misingi ya dini.Taifa la Israeli lina wakazi jumuishi ambao wayahudi ni 75%,waislamu ni 17%,wakristo ni 2%,wasamalia,wabahai na imani ndogo ndogo...
  7. Babarita

    Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    Nimeongea uhalisia uliopo sasa,hakuna taifa linaitwa Palestina,hao unaowaita wapalestina wote wanatumia passport za Israeil na wako huru kuchangamana kwenye maeneo yenye wakazi wa Israeil tofauti na Waisrael ambao hawaruhusiwi kuingia maeneo yaliyoko chini ya mamlaka ya Palestina
  8. Babarita

    Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    1.Hakuna taifa linaloitwa Palestina ila kuna mamlaka ya kiuongozi ya Palestina ambayo inaongoza baadhi ya maeneo ndani ya Israel,ikiwa imeshikilia maeneo kama Bethlehem,Baadhi ya Maeneo ya Jerico,Gaza na maeneo kadhaa. 2.Yordani ni nchi kamili na mji mkuu wake ni Aman.
  9. Babarita

    Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wetu wa Chama ameshika hatamu, Fomu ya kuomba uteuzi kugombea Urais ni moja tu!

    Sio kweli kwamba Trump hakuwa na wapinzani kwenye mchakato wa kupata mgombea kwa chama cha republican.Fuatilia vizuri utajua Trump mwaka huu alishindana na nani?kwa ufahamu wangu kwenye nominations za republican Trump alikuwa na wapinzani kama watatu hivi lakini hawakuwa na nguvu sana,Alikuwepo...
  10. Babarita

    Matokeo ya vipimo vya "sampuli za Magufuli" ni ya kizushi

    Test kit zinazolalamikiwa ni zile rapid test kit sio hizi zinazotumika kwenye maabara yetu mkuu.
  11. Babarita

    Kama vipimo vina hitilafu hadi kutoa "positives" za uongo, basi pia kuna uwezekano wa kuwepo "negatives" za uongo! Ni sayansi sio siasa!

    Mkuu ninachofahamu ni kuwa rapid test sample inakuwa ni blood na sidhani kwenye papai unaweza pata sample hiyo.Hapa itakuwa wanatumia PCR machine ambazo ndio zinazoaminika kuwa sahihi zaidi.
  12. Babarita

    Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

    Hii kweli maana wapo wengi sana mtaani tunaishi nao.
  13. Babarita

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Hamkupaswa kutuambia tu,ilibidi mchukue hatua kabisa maana nyie ndio mna dola.
  14. Babarita

    Kwanini sisi Waafrika (Tanzania) ukweli huu tunaukwepa?

    Huo ndio ukweli,kuanzia watendaji wadogo hadi wale wa juu kiwango cha umakini na utendaji kimejawa na uoga,njaa,unafiki,kujipendekeza,uvivu,ubinafsi kuliko maslahi ya umma.Ni ngumu taifa kuendelea huku watu wanawaza madaraka hata kabla ya muda kufika.
  15. Babarita

    Kwanini sisi Waafrika (Tanzania) ukweli huu tunaukwepa?

    Sio kwamba hatuwezi kufanya hayo wafanyayo hao wengine.Tunaweza kufanya mengi tu na mengine makubwa zaidi ya hayo wafanyayo.Tatizo tulilo nalo ni hatujaamua kufanya hivyo.Bado tumelala hatujitambui tunafanya maamuzi mengi kwa ajili ya matumbo yetu.Pia tumejitengenezea kizazi cha...
  16. Babarita

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Bado naamini sisi waafrika hatujafikia kiwango cha ubinadamu kamili.Hizi chaguzi tunazosema tunafanya huwa ni kiini macho tu hakuna demokrasi hapo zaidi ya mazingaombwe ya kubadili viongozi.
  17. Babarita

    Sheria ya utumishi wa umma ikoje juu ya umri wa Dkt. Slaa?

    Sasa mbona juzi kati alipofanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa alituambia wengine wamestaafu baada ya umri wao kufika kilometers cha utumishi wa uma.
  18. Babarita

    CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

    Sasa kama ni mafisadi na nyie mna madaraka si muwawajibishe,au wao ni untouchable wako juu ya sheria.
  19. Babarita

    Ungekuwa Rais ungefanya nini kuleta maendeleo ya taifa?

    Mimi ningekuwa raisi ningeanza na kuboresha makazi ya watu kupanga miji yetu vizuri kwa sera nzuri za ujenzi na umiliki wa ardhi.Watu milion 50 ni wachache sana kuwapa makazi bora kwa rasilimali tulizonazo.Ningebadili mfumo mzima wa elimu,ningeanzisha miradi mingi ya kilimo kwa uzalishaji wa...
Back
Top Bottom