Search results

  1. M

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Dah mimi mwenyewe napenda sana nivijue lakini bado sijapata msaada huo.
  2. M

    Natafuta couple chit chat

    Nipo njoo mwanza.
  3. M

    Kwa wanyeji wa mwanza

    Acha kututania bwana piga 0784 64 18 48 utaelekezwa. Wewe mbona unapenda masikhala sana? Maduka yako mengi tu mbona?
  4. M

    Star tv idumu milele..tbc ife milele

    Hongera star tv ningependa niite tv ya taifa. Star tv hakuna kulemba wala upendeleo big up sana. Tbc tv ya chama cha mapindu nawatakiwa kifo chema. ( R.I.P TBC)
  5. M

    Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

    Napenda John Pombe Magufuli asiwe PM tu, awe Rais kabisa.
  6. M

    Mzee wa Upako anatumika kisiasa?

    Yule mzee wa upako wapi? Yule magushi anatumiwa na magamba.
  7. M

    Nampenda sana JK, Ila nadhani Nchi inahitaji Snap elections!

    Duh! Ni kweli Kikwete ngoma imemshinda hii, nilivyokuwa nikimsikiliza ktk hotuba zake za kampeni moja kwa moja nilihisi huyu mzee anataka mjengo si kwa masilahi yetu bali yeye kwanza. Kitu kingine kinacho niuma kwa mwenyekiti huyu wa ccm na kunifanya kutoipigia kura ccm hata siku naingia...
Back
Top Bottom