Search results

  1. P

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    Teh teh teh.! Baadae sana.! Yote haya nikinyume na maandiko.!
  2. P

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Bila ushabiki wowote jamaa anauwezo but ndo hivyo kashaaribu na kumwamini tena ni ngumu.!
  3. P

    Ni kweli kuwa Tanzania ni nchi ya kidemocrasia?au ya kidikteta?

    Ni nchi inayoongozwa na viongozi wasiojiamini waoga na wasiokuwa na sifa za uongozi.! Kilichowaeka madarakini ni masilahi tu thats why wanaogopa kuendesha nchi kidemokrasia.! No democracy in Tanzania.!
  4. P

    Hivi huyu vc wa university of dsm ana watoto kweli....................?

    Dah.! siamini kama anawezatokea binadamu mwenye roho mbaya, kibaraka wa wakubwa, msaliti. Mchawi, na muuaji kama huyo jamaa hapo juu aliyejipinda kutuandikia utumbo, ujinga na uongo ulio pitiliza.! Repoti zakinafiki kama hizi yeye zinamsaidia nini.! Nanamuapia kwamba milele yote utaendelea kuwa...
  5. P

    Hivi huyu vc wa university of dsm ana watoto kweli....................?

    Kwenye moja yakauliza profesa alisema madai ya wanafunzi niya msingi.! Sasa iweje leo aje kuwageuka nakuwafukuza chuo.? Maana mgomo umesaidia watoto wawakulima na wawindaji waliokuwa wamekosa mkopo kupata.! Ww unaesema maamuzi ya profesa ni sawa dhambi hii pia na ww itakutafuna.!
  6. P

    Mtoto Wa Miaka 14 Apewe Mimba na Mzungu

    Kizazi cha dotcom ndo hiki sasa 14yrs kaanza kuwaza kumiliki blakbry 18yrs catawaza kumiliki hammer.! But cio mbaya maana familia itafurahia kupokea mzungu koko.!
  7. P

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Tanzania ili 2endelee inatakiwa apatikane kiongozi mwenye msimamo na mwenye asili ya udictator ili kusimamia rasilmali zataifa kwa uadilifu.! Naoma lowassa ndio mwenye sifa hizo na ana uwezo.! 2achilie mbali mambo ya skendo maana inasiri kubwa ndani yake.!
Back
Top Bottom