Search results

  1. Y

    Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    mi nazani inabd uwafuge bata kwa wing then unaanzisha ka bbq centre flan iv ili usihangaike na soko
  2. Y

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kichwa mbovu nimekutumia pm naona kimya.
  3. Y

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Hivi kwa DSM wapi naweza kupata mabanda ya kukodi kwaajil ya ufugaji wa broilers?
  4. Y

    Nimshaurije huyu baba?

    iv kwani we ni malaika unajua kila kitu?acha kumshambulia mwenzio.jamaa kaona hapa ni kisima cha maarifa ndo mana kaamua aombe ushauri amsaidie baba yake alie ktk kpnd kigumu.uwe na busara!!
  5. Y

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    malila nashndwa kureply pm yako kwasababu nimejiregister jana tu na ninaambia niwe na 5 posts ndo ntaweza kureply.naomba tuwasiliane kwa email kama hutajali. theonyoni@gmail.com. thanx in advance
  6. Y

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Hiv ni maeneo gani yanalipa zaidi kwa kilimo cha matikit maji.naomba kujua pia bei za mashamba kwa maeneo hayo.seriously nataka nianze biashara hii, nipo tayari kuhamia maeneo hayo ila kwasababu ndo ntakua naanza ningependa kupata maeneo ambayo mashamba si bei ghali sana. Naombeni msaada wenu...
  7. Y

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Malila iv maeneo mkuranga mashamba wanauzaje kwa heka moja?
  8. Y

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Hivi maeneo ya Kisarawe eka moja huuzwa bei gani kwa sasa? maeneo ambayo sio mbali na mji!
Back
Top Bottom