Search results

  1. A

    Africa na tiba za ukimwi

    Haitaji kuwa na degree kujua aliyeandaa ujumbe huu alikuwa anatoka au anaamini katika healing system ipi. This person obviously belong to the healing tradition of biomedicine which is well known for its belief in monotheism i.e. believing that biomedicine is the only true and efficacious...
  2. A

    NHIF sometimes inalipia huduma hewa!

    KVM, tatizo ni kwamba ile fomu inasainiwa kwa signature moja tu na sio kwamba unasaini against kila huduma/dawa uliyopewa. Hivyo ukisaini tu NHIF hawawezijua zipi ulipewa zipi uliambiwa zimeisha.
  3. A

    NHIF sometimes inalipia huduma hewa!

    WanaJF, utaratibu wa kupata huduma ya afya kwa wenye bima ya NHIF, sijui bima zingine inakuwaje, huwa huduma na dawa zote ulizopewa katika hospitali fulani zianandikwa na doctor kwenye fomu ya NHIF alafu wewe mgonjwa au ndugu anasaini kuonyesha kuwa kweli ulipewa huduma hizo na fomu hizo baadae...
Back
Top Bottom