mkuu london ni mji mkubwa,kwa tanzania unaweza linganisha na dar.gharama za maisha zipo juu kiukweli hususana kodi ya kupanga nyumba.na pia kazi hizi za kawaida uwa inategemea na unavyojituma kutafuta na pia hali ya uchumi kwa kipindi hicho.kuna wakati unaweza ukapata kazi hata ndani ya wiki tu...
kiukweli wanahitaji kuangalia upya hicho kigezo kulingana na hali halisi ya waombaji wa ajira.kama ulivyosema ni gharama kwenye kucerity vyeti,pili ule umuhimu wa kucertify vyeti haujachukuliwa kwa lengo lile wanalotaka wapo.kusema hvo namaanisha ni kwamba mtu anaenda mahakamani kucertify vyeti...
ni vyema mkuu umetoa tahadahari.na mimi huku maeneo yakigamboni njia ya kwenda mji mwema kuna ajali imetokea maeneo ya magogo.imehusisha gari mbili ndogo.muhimu kuchukua tahadhari mvua na weekend vinachangia sana.
wakuu salama...nilipatwa na mshtuko baada ya kwenda kutoa pesa kwa wakala wa tigopesa na kuambiwa salio halitoshi,huku nikiwa nimetumiwa elfu 25.nikahamaki kidogo,uzuri yule dada akaniuliza hiyo pesa umetumiwa au ilikuwa salio kwenye akaunti yangu?nikamjibu nimetumia,akasema naomba nione hiyo...
salam wadau,mtandao gani kwa tanzania internet yake ni nafuu na huduma iko vizuri?hii yote inatokana na airtel kutukatili bundle yetu ya 400 MB kwa 2500.asante
swali la kujiuliza kama kusingiziwa kwanini asingiziwe komba?na akisingiziwa kuna faida gani?wanaomfahamu kwa ukaribu komba wanadai lulu ameshawahi kwenda na komba kijijini kula mbambabay kwa ajili ya vacation.
wakuu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni iwe karibu na barabara iendayo mji mwema.sifa za nyumba iwe chumba kimoja cha kulala,sitting room,jiko,choo na iwe ndani ya fence.naomba kuwasilisha.
maisha ya sasahivi yamejaa maigizo mwanzo mwisho.watu wanakufa na tai zao shingoni,ni pale inapofika mwisho wa mwezi na kukuta salio chini ya laki na nusu.mjini sasahivi kuishi kunahitaji akili nyingi sana na kujikubali mwenyewe.lakini ukitafuta gari ili uonekane mambo mazuri wakati linakuzuia...
mkuu kwa ambayo kubwa kidogo inayoweza kuwasha tv,fridge na taa inaweza ikagharimu kiasi gani?na pia uwezo wa kuhifadhi umeme inakuwaje wakati wa mawingu au mvua?
wakuu habari zenu.kwa uhitaji wa mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana,unaweza wasiliana namba 0653685339.yanapatikana maeneo ya kijichi. Bei ni 12000 kwa tray.naomba kuwasilisha wakuu.
toilet zinaitwa 'battle' almaarufu beto kwa maana ya kwamba ni uwanja wa vita ukiingia unaanza kuvua nguo zako ukiwa mbali mana ukienda nazo ukitoka zinakuwa na harusu ya toilet.pia pugu kuoga ni nje tu so lazima usubiri giza liingie ndio uoge..ni hayo tu mkuu
wakuu tatizo la uoga wa watanzania kutake risk linachangiwa na na vitu viwili.
1.mfumo wa maisha tuliyolelewa-tangu tukiwa wadogo tunaambiwa soma uje kupata kazi nzuri,na sio soma uje kutengeneza ajira.sasa hii inatujenga hadi tunapomaliza chuo kuamini kazi nzuri ni ile tu unayoenda kuajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.