Search results

  1. Faana

    News Alert: Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Mbona naona kama walichelewa kujibu mashambulizi
  2. Faana

    Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Kuna zile zilikuwa zinatengenezwa Arusha Kigoma enzi za Tanzania ya viwanda ziliishia wapi
  3. Faana

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

    Kwahiyo DED anatoka kwenye Prado na kwenda kuvaa jezi za orange kwa miongo 3
  4. Faana

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

    Possibly Huyo jamaa ana age gani labda ni kijana sana Au anatokea visiwani
  5. Faana

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

    Mkewe yuko wapi Pastor Mgogo alisema tusichukuwe wasaidizi wa ndani wenye mvuto wataharibu ustawi
  6. Faana

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Sikiliza hii video kuanzia dakika ya 1:26 hadi 2:06 jiulize public kiasi gani inaharibiwa [WARARAMIKAJI] https://www.youtube.com/watch?v=61ES1Sgksoo
  7. Faana

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    RIP Ndugu Mungu awape faraja wafiwa wote
  8. Faana

    Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Huwa wanapanga Anawaambia in advance nikifika pale nitawatishia kuwaweka ndani, halafu ninyi tetemekeni kidogo, wananchi wataridhika tu
  9. Faana

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    Anza na Salma Kikwete anayechangia 0% PSSSF lakini analipwa Millions for nothing
  10. Faana

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    Uwezekano ulikuwepo wakauharibu ili wakubwa waibe vizuri, mbona viongozi hawafanyiwi wanavyofanyiwa raia?
Back
Top Bottom