Inauma sana kama mpaka shule ya msingi nao wanafutiwa mitihani cjajua nchi yetu inakwenda wapi na cna uhakiwa kama policy yao hao ya kupunguza ujinga kama itafanikiwa kama hao wanaotaka kupunguza ujinga wanao huo ujinga,this world is not our hm watafanya nini hao waliofutiwa mitihani mbaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.