Search results

  1. N

    sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

    Ahaa nahao viongoz wako wa ccm je,,?hawana hayo magorofaa,,??nafkiri huwajui vizuri pole sana ungejua magorofa,viwanja,magar,waliyonayo ungebak mddomo wazi
  2. N

    Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

    Nawasiwasi kama ulimboka ataongea ukwel uliomkuta serikali itamtuliza vzur yy na familia yake malezi na ada za watoto ,jumba hko beach,migari ya kufa mtu ehh ndo aongee nn ,,??ngoja muone atakayoongea mtabaki na mshangaoo chezea serikali,, na mihelaaa lets wait n c
  3. N

    Kashfa ya ajira TANAPA

    Hahaha unaongelea tanapa alaa huko c swala la kuuliza atii kujuanaa lazimaa watu tusha apply kazi huko mara kibao na qualifications tunazo hawatuchukuii ukiona watu wanaochukuliwa utabaki na mshangaooo ,,!!
  4. N

    Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka

    Tungoje apone arudi home awafichue haaao waliohusika ambao wanajulikana kabisa,,!
  5. N

    Harusi ya Jerry Muro iligharimu milioni 62, thamani ya pete Dola 1,800, Suti Taxido

    Anajenga nyumba kinzudi gobba nyumba yenyewe ya kawaida sana tena ipo mabondeni nahaijamalizika naukiingalia haijagarim hata mil kumi sasa hyo mil 62 za harusi alitoa wap,,?
  6. N

    Hawa wanajeshi ndio mnaotaka waende vitani? Kweli?

    Mishahara yao ni midogoo sana hasa hawa ma MP na Private lakini ma boss wao mishahara minonoo mpka basi kwahyo sishangai wakiwa kwnye hali hiyo na kunywa viroba ukiona sehem wanazoishi utasikitika sana,!
  7. N

    Kwa msimamo huu wa spika Makinda; Naamini CCM inawatoa kafara la damu watanzania!

    Spika hakua na habar za uhakika kuhusu hiyomeli kupinduka na kuzama ndio maaana alikua anamngja waziri husika atoe taarifa kamili therfore asingeweza ahirisha bunge kbla ya taarifa kamili ths my point of view,,!namtetea kwahlo lkn mwngne hapanaa
  8. N

    Kuna mahusiano ya mapenzi without sex?

    Nimeipenda hyo hata mm ndo hvyo,,!
  9. N

    Viwanja Magwepanda kuna harufu ya rushwa

    Wizi na ufisadii tunaomba kila mwaka hatupatii je wanaopataga nikina nani,,?
  10. N

    Fomu za viwanja mabwepande kutolewa leo lakini ni nutata mtupu

    Tuliokosa kule gereza ulole kigamboni basi watupe huko mwabepande,,!wanaopataga hiv viwanja sijui niwatu wa aina gani ufisadi mtupuu
  11. N

    Wanaume tuu!!!

    Jarbu kujirdhsha mwenywe kwa kupiga nyeto it real helps kuliko kukutana na wanawake wengne ukaleta magonjwa kwnye familia nyeto haina shda kbsa..!kazi kwako
  12. N

    Dk. Mwakyembe mambo mazito: Ripoti ya ugonjwa wake yaivuruga Serikali: Pinda

    Mbna mwakyembe nae amekaa kmyaa,,??ama ameona nikawaida yy kuwekewa sumu
  13. N

    Wanafunzi wa udsm wana-raha!!

    Mnasahau vyuo kama Kampala International University (KIU) chuo ambacho kinakua kwa kasi sanaaa na aim yao nikukifanya kua the Havard of Africa..?endeleen tu kushindana mara udsm ,,mzumbee,,,!vyuo vingne kama udsm ni jina tuu
  14. N

    Sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe!!

    Piga nyeto hiyo huwa inasaidia sana na nzur kiafyaaa
  15. N

    Sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe!!

    Mwambie kabsaa nyetoo nyetooo ni taaam ajeeee,,,!
  16. N

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Hapo sasa majina ya watu yaandkwe vzur aibuu
  17. N

    naweza pata kioo cha laptop toshiba

    Dah pole hata mm laptop yangu imevunjika kioo natafuta pia
  18. N

    Nakumatt opens USD 1.3 million supermarket in Moshi, Arusha branch forthcoming

    Nipo likizo moshi nimeenda hapo nakumatt tena mara nne for shopping kuna wakenya kibao wameajiriwa nawapo serious thy ve good customer care,,lakin kuna watz pia sijajua serikal inachukuliaje hili la wakenya kuajiriwa kwa wingi hvyo but kila kitu hapo ni kizur na tunafurai kupata nakumatt moshi
Back
Top Bottom