Search results

  1. shikasana

    Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

    Kwahiyo lazima mmoja aibuke kidedea namaisha yanakuwa kawaida?!!
  2. shikasana

    Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

    Soma tena nilichoandika alafu linganisha na hayo maneno uliyo yakoleza wino.
  3. shikasana

    Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

    Falsafa ya vita vya nyuklia ni kuwa hakunaga mshindi, kwa maana uharibifu utakao tokea huwa ni kwa pande zote zinazo pigana, kubali au ukatae hiyo ndio ipo hivyo. Matokeo ya vita vya nyuklia huwa ni mabaya sana kwa pande zote zinazopigana na zisizo pigana, busara ndio huongoza wenye akili...
  4. shikasana

    Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

    Mmarekani anachoangalia ni adhari kwa kwake na kwa dunia, uwezo wa kumpiga mrusi anao tena wakutosha tu, tatizo lipo baada ya kumpiga matokeo yake ndio yanayoogopesha. Mungu azidi kuwaongoza kwa busara na hekima kwani ata wahenga walisema ni bora nusu shari kuliko shari kamili.
  5. shikasana

    Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

    Brother Pascal Mayalla nimesoma badiko, kuna wakati nikajikuta nacheka kwa nguvu, sijui kwa nini.Ila kwakweli wewe ni bonge la Bonge la muandishi, ninashukuru kubahatika kusoma maandiko yako. Tatizo umeandika vitu vingi sana vya ukweli kutoka moyoni kwako, umesahau kuwa vitu vingine vya ukweli...
  6. shikasana

    Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba

    Brother Pascal Mayalla Akhasante sana kwa darasa la bure, umenigeinisha sana kwa waraka wako huu. Ila nionavyo kwa uzi huu jiandae kisaikolojia kuitwa kuleee ulipo itwaga.😜
  7. shikasana

    Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli?

    Hivi Pascal Mayalla alishaletaga mrejesho wa kwenye kamati ya Bunge? Teheee tehe tehe
  8. shikasana

    Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Hongera Paskali Mayala kwa hatua uliyofikia ya kuitwa kwenye Kamati ya maadili, tukio hili naweza kulifananisha na dhahabu kuingizwa kwenye tanuru la moto mkali, ukitoka utakuwa imara na wa thamani sana machoni mwajamii. Big up.
  9. shikasana

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, tajiri wa Singida United anagawa rushwa kufuru

    Teheee!! Tehheee. Ukiona hivyo ujue kuna mmoja kashashikwa pabaya.
  10. shikasana

    Rufaa ya vyeti feki

    Ndugu Shukuru Haijakukuta. Kuna Binti namfahamu alitakiwa kufanya Mtihani wa Taifa mwaka 2003 aka omba kuhairisha kutokana na kupatwa na maradhi alikubaliwa na kufanya mwaka unaofatia yaani 2004 kwa namba zake za mwaka 2003 matokeo yake kaitwa anacheti feki. Je ulize mtu kama huyu serikali...
  11. shikasana

    Uunganiahaji Wa CCTV CAMERA kwenye simu za android au laptop kwa wireless.

    Kwenye address bar ya browser unayo tumia, itakupa option ya kuandika user name na password uliyo i- configure kwenye ile simu ya wali.
  12. shikasana

    Uunganiahaji Wa CCTV CAMERA kwenye simu za android au laptop kwa wireless.

    Huonekana automatically ukisha fungua hiyo app uliyo install
  13. shikasana

    Uunganiahaji Wa CCTV CAMERA kwenye simu za android au laptop kwa wireless.

    Fanya ifuatavyo Download IP webcam kwenye playstore Kisha install na kuifanyia configaration Then fungua hiyo app na u-start server itaonesha IP address ya hiyo simu. Note: Hiyo simu ndio itakayotumika kama server na ndio itakayokuwa ina monitor eneo husika chukua simu yako nyingine au nenda...
  14. shikasana

    Baraza Kuu la Uongozi la Taifa CUF, kwa kutumia uwezo wake limemfukuza uanachama Profesa Lipumba

    Hakika Lipumba Kawatukanisha Ma-profesa. Kuwa msomi na kushindwa kusimamia msimamo wako ni kitu kibaya sana, kusema kuwa aliombwa na wazee kutengua kujiuzulu kwake akusaidii tusimwone kama mtu asiye na msimamo. Je anafikiri Dr.Silaa hakuna wazee walio mfuata na kumshauri ageuze msimamo wake? My...
  15. shikasana

    Tuhuma dhidi ya Zitto hazina msingi

    Kila jambo huwa linamwisho wake, sijui kwanini watu wengine hawapendi kukubali? Kujinafkisha ili ufikiriwe kwenye nafasi ya uteuzi katika zama hizi hakupotena. Tumeambiwa "HAPA KAZI" Jamani Tufanye KAZI.
  16. shikasana

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo M-BET ni Mwendo ufatao: AC. VISEU vs SPORTING CP B AVES vs CHAVES MAFRA vs PENAFIEL FARENSE vs FC PORTO B SC BRAGA B vs FAMALICAO Both team score
  17. shikasana

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwakika Barca Madrid Corinthians Zote zina win naweka Laki (Potelea Mbali)
  18. shikasana

    Nataka kuajiri body guard, je sheria za utumishi wa umma zinaruhusu?

    Huyu wa daimond sio mlinzi bhana, huyu atakuwa msaidizi wake kwajinsi anavyo onekana kwenye picha,mlinzi gani anabebeshwa adi mabegi kiasi hicho? Kama kuna mtu anataka kumdhuru bosi wake adi atupe apo mabegi bosi siatakuwa kashavimba vyakutosha?
  19. shikasana

    Mlinzi wa Lowassa, Aloyce Tendewa atimuliwa kazi...

    Gazeti la Mtanzania naona kama linaungaunga maneno kwani alijaweza ku balance story, alijaweza kumhoji huyo mlinzi mwenyewe na kupata maelezo yake kama kweli kafukuzwa ama laa, pia alijaweza kumhoji mkuu yeyote rasmi kutoka katika hiyo idara ya Usalama wa Taifa istoshe pia aijaweza kueleza kuwa...
Back
Top Bottom