Search results

  1. S

    haichekeshi kivile ila ukiilewa utaipenda tu...

    kweli jamaa katumia akili ya kujifungu ni lahic sana ukitaka A unaenda B ahahahah nimeipenda:lol:
  2. S

    JAMBO HILI LITATOKEA LEO USIKU TANZANIA! Usichelewe kurudi nyumbani please!

    mh mi sishangai ndo kwanza ktoka itigi mwache akimbilie taarifa ya habari kwenye tv akizoea ataacha :eyebrows::washing:
  3. S

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    mtalaka hatongozwi asione noma arudi kwa makamanda
  4. S

    Mbunge Sumari azidiwa, anapelekwa India leo

    kama ni mbunge harali mola amponye ampe uzima arudi kuwatumikia wananchi kuhusu mengine mi sisemi maana siwapendi wezi wa kura.......ila kila nafsi itaonja mauti
  5. S

    Maalim Seif Hamad (Katibu Mkuu - CUF) na Kashfa ya Ufisadi wa 500M za Chama

    yote hayo ni matunda ya ccm si wamewaoa tena kwa ndoa harari ukikubalikuolewa kubali kulala uchi cuf kazi kwenu
  6. S

    Chaguzi Ndogo Tatu 2012 ni Dhahiri

    kazi raisi sana chadema kubeba vyote na hiki cha raisi mh bado sana jamaa anakomaa
  7. S

    Maalimu Seif Atimua Waandishi Wa Habari kwenye Mkutano Buguruni!!!

    sishangai maana dhambi ya usaliti inawatafuna cuf.yangu masikio kisikia hatma ya hamad
  8. S

    .....A.K.A za kufunga mwaka.....

    huyu ana a.k.a nyingi jk sharobaro mzee,kauzu mwenye tabasam,
  9. S

    MMU thread ya kufungia mwaka

    yote ni yenu mi yangu *mama mwenye nyumba mtam! naifungia mwaka nafungua na tafuta wako wa mwenzio sumu
  10. S

    Tunapoukaribia mwaka mpya, vionjo kama hivi ...

    maskini wa fikra ndo hufanya hivi
  11. S

    Mbowe akamatwa na polisi na kuhojiwa kwa dk 15...

    kamanda wa ukweli lazima apitie misukosuko........na tusiwalaumu polisi tatizo katiba inaelekeza watii amri zote zinazotolewa na wakubwa...wameamriwa na mkubwa sasa waache kibarua kiote nyasi.....
  12. S

    Umeme kupanda kwa 155% January 2012-Ushauri

    kwani ni lazima nitumie umeme wao. najipanga kutumia njia mbadala siwezi acha lipa ada na kufanya maendeleo ya maisha kisa ninunue umeme mwingi kuikomesha tanesco.sishindani na wajinga
  13. S

    Bashiru Ally: Rebirth of Chachage?

    ni kweli watafanya mapinduzi na kua wakulima maskini zaidi duniani *huyu msomi yuko sahihi kabisa
  14. S

    FFU mlinzi wa benki NMB ajipiga risasi

    ebu ielezee jamii ukweli maana mi najua kwa dar ffu wako ukonga na hawalindi nmb pia tukio kama hilo halipo
  15. S

    Muhimbili hakujatulia, graduation yavurugika!

    wanachuo wa chuo cha elimu ya udaktari muhimbili waanzisha fujo kipindi wenzao wakifanya sherehe za kumaliza vurugu hizo zilipelekea kuitwa polisi jambo lililosaidia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa utulivu,katika hali isiyokua ya kawaida wanachuo hao walikua wakirusha mawe bila kujali uwepo wa...
Back
Top Bottom