Search results

  1. Kiziza

    Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

    Kwa nini alishindwa kuigundua kwanza yeye,kasubiri wengine wagundue ndio kanaongea hako kabibi! Mtu ushazeeka badala ya kutubu unakalia uchawi!
  2. Kiziza

    Wazee wa Mtwara wanajipanga kuigeuza Gesi yote kuwa maji

    Maskini Wakubwa Hawa! Halafu wa kwanza kusema mikoa ya kaskazini inapendelewa,kumbe wana akili za panzi.
  3. Kiziza

    ILO yawataka waajiri wa ‘Housegirl’ kuwalipa Sh65,000

    Ukitaka kujua roho ya mtu ile original siku zote angalia jinsi anavyomzungumzia mtu aliye mnyonge kwake,Eti simlipi kwa kuwa anakunya na kukojoa kwangu! Mungu atusamehe.
  4. Kiziza

    Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

    Halafu kuna Wabunge wametamka kwenye Mic kwamba watamshughulikia Wenje, nadhani ni wale Wanzibar, kwa hiyo lolote litakalo mpata Wenje inabidi wahusike,kwa kuwa tayari iko kwenye Hansard.
  5. Kiziza

    Mulugo: Adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni itarudishwa ili kujenga nidhamu

    Jua kwamba huyu waziri wanae wala wajukuu zake hawatachapwa hivyo viboko,kwa kuwa hawasomi shule za serikali,watakao ishia kula mboko ni hawa hawa akina Kayumba wakija kuumizwa huko hakuna hata atakae jali.
  6. Kiziza

    kuonga ni hulka ya vibabu. Vijana hatuhongi ng'o!...

    Kinachoongelewa hapa siyo Mapenzi,hapa ni kubadilishana K kwa Pesa,ndio maana kila mwanamke anajigamba kwa bei ya K yake,na wengine wametaja bei kabisa.
  7. Kiziza

    Askari amshika makalio mfanyakazi wa ndege wa fast jet

    Ana akili mbovu huyo,labda mke wake ni 'Sunche'.
  8. Kiziza

    hivi nyie wakina dada, vijimaneno na chokochoko mwajifunzia wapi??

    Hayo ni MAGUMEGUME, na ndio wanaowapa nafasi nyumba ndogo,mwanamke aliyefundishwa maana ya ndoa hayuko hivyo,Ndio maana wanaume wengine hayo wanayasikiaga tu,na kuyaona kwenye TV.
  9. Kiziza

    JF imenipatia binti.

    Kwa hiyo hao wa Makanisani,Mitaani,Mashuleni,Kwenye Daladala ndio Mabikira!!!
  10. Kiziza

    Kabila gani nibora kwa kupata Mke ambaye anaweza kufaa nakushi mazingira yeyote

    Kwa hiyo wewe Moyo wako hauna nafasi,yaani hisia za Mapenzi hazina nafasi?Sasa umepewa zitumike kwa ajili ya nini?Yaani unatafuta Mke kama unatafuta business partner hivi or something! Wakati mwingine mtu unafikiri watu wameshaelimika kwenye mambo fulani fulani kumbe wengine bado! Jua...
  11. Kiziza

    Hivi sisi watanzania ni waoga, wajinga au tumelogwa?

    Kwani hujui sisi wabongo ujanja wetu ni kama hivi kwenye keybords tu,na Mikwara teeele!
  12. Kiziza

    Serikali, wachukulieni hatua Clouds FM

    Du siamini! Alisemaje hasa unge tueleza vizuri,mimi si msikilizaji wa hicho kipindi,ila Diva na kipindi cha Michezo wapi na wapi?Ina maana aliitwa specific kuzungumzia hayo mambo!!! Kama ni hivyo basi hali ni mbaya!
  13. Kiziza

    Hivi na wakenya huwa wanafuatilia mambo yetu hivi@

    Ni sisi tu VIHEREHERE,Wakenya hawaoneshi chochote kuhusu sisi,utadhani hatujapakana,hata kama uchumi wao upo juu kuliko sisi, bado kwa ujumla wananchi wa Kenya ni Maskini,hawana tofauti na maisha ya Watanzania kiasi cha kusema eti hamna cha kuonesha kwa tofauti za Kiuchumi,mara ngapi tumeona...
  14. Kiziza

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Hivi sheria za JF ni zilezile au zimebadilika?!!
  15. Kiziza

    Mateja yanalawiti Wanafunzi wa Kiume wa Chuo??

    Usipate shida,hapa issue wala sio hiyo,issue ya kweli hapa ni kwa kuwa hawa ni wanafunzi wa ''IFM" basi tu yaani mtu hawapendi anaona wanajidai,hayo mengine ni matawi ila kiini kiko hapo mkuu!
  16. Kiziza

    Nimetoa rushwa leo kwa traffic

    Ingekuwa rushwa inachukiwa kweli kama watu walivyo onesha hapo juu Tanzania ingekuwa mbali sana. Binafsi siwezi kuku hakikishia kama nisinge fanya ulichofanya,askari kanikamata,fine 90,000 ila napewa option ya kutoa 10,000 tena na askari mwenyewe unadhani nitachagua lipi! Ila usirudie...
  17. Kiziza

    Huyu mwanafunzi nimeshindwa kumwelewa

    Stress sio za walokole ila ni maumbile ya kibinadamu,hakuna ambaye hana au hajawahi kuwa na stress,Bill Gates mwenyewe ana stress itakuwa wewe mla vumbi wa ulimwengu wa tatu!
  18. Kiziza

    MBA za Mzumbe, nazo ni zakujivunia?

    Malimbukeni utawajua tu,nadhani kwenye ukoo wenu ndio wa kwanza kupata Masters.
  19. Kiziza

    USHAURI: Ana F zote na D moja katika masomo yake saba MATOKEO YA 4M FOUR

    Ndio maana ndoa hazidumu,watu wanadhani ndoa ni sehemu ya kwenda kukimbia matatizo.
Back
Top Bottom