Search results

  1. MiniActivist

    Walimu tubadilishane scheme of work kwa 2018

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Nazitaka bila PM
  2. MiniActivist

    Walimu tubadilishane scheme of work kwa 2018

    History F ngapi ndugu? Ulipata?
  3. MiniActivist

    Je, Mwanafunzi wa kidato cha tatu Kenya anaweza kuhamia shule ya serekali Tanzania?

    Kama unafam mambo haya naomba unijize. Hivi inawezekana kijana raia wa Kenya anaesoma shule ya serekali nchini Kenya kupata uhamisho na kuja kusoma shule ya serekali hapa Yanzania? Kama mdivyo naomba utaratibu wa kifuata. Nimeulizwa hili swali na mtu anaetaka kutoa mwanae Mombasa kuja Dar es...
  4. MiniActivist

    MSAADA WA KUUPDATE SIMU

    Andika model namba yake hapa niangalie kama update yake ipo.
  5. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    [emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji1][emoji6][emoji28]
  6. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Kweli we wa bodaboda [emoji23].
  7. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Ni taarifa muhim pia umetoa. Ahsante.
  8. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Mara mia kuuliza ukapewa jibu lisilosahihi ukamnukuu mtoajibu kuliko kuwaelimisha watu kupitia tetesi.
  9. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Ni mawazo yako Ndama1. Hukatazwi kuwaza. [emoji5]
  10. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Comment #40 [emoji2][emoji2][emoji2] Ndio naanza kuona round figure. Asante mkuu hatakama hujatoa details sana. Wakijibu wengine mwisho wa siku nitazitaftia hata wastani. JF raha sana jamani.
  11. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Sasa mkuu tutasikia hivi mpaka lini? Si anayefahamu atudokeze japo kwa ufupi? Tunayasikia mengi, sasa kuliko tuisgie kuimba mambo yakuambiwa tena unakuta anayeniambia naye kasikia tu. Leo nahoji anayefahamu aseme, hata kwa direct message nashangaa mnatoa ushauri nasaha tu. Kama unafaham...
  12. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Kinachoonekana hapa kuna wengine hatufaham ila kunyamaza inakua tatizo. Kama mtu anafaham na nimehitaji kutumiwa direct message au private message, tena sema kiasi kadirishi. Shida ipo wapi hapo?
  13. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Asiye na njaa hahitaji chakula. Wewe uliye na ufaham na kwa uwezo wa akili yako, ukiona mtu anapotoka ni wajib wako kumuelimisha kwa lile jema unalodhania ama kulifaham. Sio sawa kushawishi wengine kuacha kutoa elimu. Usiwe hasi wala chanya pekeyake. Jifunze kutazama mambo kwaundani.
  14. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Nayafaham haya yote uliyoandika apa. Nisichojua ni mshahara bas.
  16. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Nimetoa nafadi kama unajua tuma Direct Message. Au hukusoma kabla ya ku-comment?
  17. MiniActivist

    Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Kuna watu tuna mawazo hasi tu. Shukrani upo makini.
Back
Top Bottom