Search results

  1. D

    Msafiri Mtemelwa aomba kuondoka CHADEMA; MM’s wamrubuni aitishe press conference kutukana

    Kuweka kumbukumbu sawa. Tweve na watu wa kusini. Hata mimi ni mngoni na mcdm pure.
  2. D

    Taarifa kwa umma juu ya kutelekezwa na chama changu (NCCR Mageuzi)

    Rudi kwa baba dean of student ukaombe msamaha. Maana ndiko ulikoanza kupotoka.
  3. D

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikime. Pole Zitto.
  4. D

    Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

    Really nakemea toka rohoni. Japo kwa Tanzania ya leo hatakiwi. Ukiwa against ufisadi basi ujue wewe hata kaa upande daraja, cheo wakipenda hata mshahara na wasingizia masa Epicor mara mfumo. Mungu atusaidie hii nchi upepo huu upite vinginevyo vizazi vijavyo watachinjana kama Somalia na other like.
  5. D

    Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

    Da nimekumbuka mbali sana ndugu yangu. Mungu ametunusuru. Basi tulio hai na tutende mema kwa jamii inayotuzunguka. Tusiwe part of ufisadi. Binafsi bado nina mawasiliano na herieth,grace tendega, monika, vangamela et el
  6. D

    Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

    Ha ha ha ha ha. Uko wapi ndugu yangu. Cocroach sasa hivi yuko Kyela ni katibu wa cwt.
  7. D

    Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    kimeniuma sana aisee. Kulizagaa habari kile kipindi cha kampeni(2005) cha baba yake kuwa aliahidi kuwa kinyume na baba yake vinginevyo amwahidi sehemu ya urais wake otherwise ataweka kila kitu hadharani alivyomfanyia mama yake. Labda ndo sababu hata akifanya cha ajabu baba yake anamwangalia tu...
  8. D

    Uchaguzi kalenga: Mapokezi makubwa yanamsubiri bi.grace tendega wa cdm.(picha)

    Kila raheli classmate kwa mama Lambo(Rip).
  9. D

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Nilijua tu kuwa iko siku litatokea hili. Mimi ni mwalimu wa Elimu maalumu(ya wanafunzi wenye mahitaji maalum) kuna kanuni inasema hivi "chukua lililozuri/jema toka kwa mwanafunzi wako ili umwendeleze/kuchochea kipaji alichonacho. Pia ni rahisi hata kumrekebisha kasoro zilizopo.
  10. D

    Jk pesa za rada mmezipeleka wapi mbona hivi loh?

    Hakuna hiyo kitu ndugu yangu. Vitabu vimeletwa wilayani ndo vinasambazwa mashuleni. Vitabu vyenyewe ni vya publishers tofauti tofauti. Kuna oxford, macmillan, sijui twiga nk. Hivyo issue ya kutumia kitabu kimoja nchi nzima tusahau.
  11. D

    Jk pesa za rada mmezipeleka wapi mbona hivi loh?

    Nchi hii ya ajabu sana. Vitabu vya ajabu sana. Pia imefanya maafisa elimu kugeuza vuna vuna time. Zinavutwaje per diem? Kwenda kusambaza vitabu.
  12. D

    Serikali ichunguze kwa makini watumishi wake mamluki.

    Ndio hivyo tena ndugu yangu. Manni.
  13. D

    Serikali ichunguze kwa makini watumishi wake mamluki.

    Ha ha ha ha eti mtumishi mwaminifu. Umenifanya nicheke maana nilikuwa nimekasirika siku nzima baada ya kukuta vitabu vilivyogawiwa shuleni kwetu vya chenji ya Radder ni vituko tu. Naamini hali ya elimu itaendelea kuwa mbaya sana pamoja Brain Receive Nothing yao.(Big result now)
  14. D

    Serikali ichunguze kwa makini watumishi wake mamluki.

    Basi baba umembana mno mpk network imeyumba.
  15. D

    CHADEMA, ukweli ni kuwa CCM itashinda Urais uchaguzi ujao: Imarisheni Bunge na Serikali za Mitaa

    Profesor nimekuelewa yawapasa watu wasome hoja zako kwa kutulia. Pia hongera kwa uvumilivu na kupungua hoja za waliojinyume nawe. Shida ni kwa watu tuna hasira sana na serkali ina unyanyasaji sana siku hizi.
Back
Top Bottom